Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Watu waseme ukweli kama alivyo Rais wa JMT.
Babati,Hongera sana mkuu
Kwa hii tume wapinzani wasahau.Mkuu kushinda na kutangazwa mshindi ni vitu viwili tofauti, labda ccm huwa wanatangazwa tu
Pamoja mkuuBabati,
Ahsante kaka.
Ndefu ila hain maana yoyoteHawa wanapewa kichwa na Tume za Uchaguzi (NEC&ZEC)...
Sheria wanayo ya kuwakamata ,wawakamate wakaonyeshe hizo kura walizoshinda kituo kwa kituo bila hivyo watajipa uhalali na kuonekana Tume zetu HAZIAMINIKI.
Ukiisikiliza na kuitazama hotuba ya Seif Sharif Hamad ya kushinda utaona UPUUZI alioufanya yaani kajitangaza kana kwamba kagombea yeye na Rais Dk.Shein pekee kwa maana ya kugawa 100% kwao tu hamna kura zilizoharibika,walizopata wagombea wengine,wapiga kura wasiopiga nk..
Huyu mwingine wa Muungano baada ya kukamatwa WADUKUZI wake waliomtengenezea ile milioni 6,naye anatangaza kwa kigugumizi ni-ni-ni-limshi-shiinda Maggggufuli.
Seif ilipotangazwa kurudiwa Uchaguzi kabla ya kutangaza tarehe yalifanyika mazungumzo na CCM kuijadili hali na akawa anaenda peke yake mazungumzoni bila hata hao kina Bimani,Jussa wala Mansuri Himid...kila akiambiwa tupe taarifa ya kila kituo jinsi ulivyoshinda akang'ang'ania mie nina taarifa za jumla.
Rais wetu asiyependa blahblah akamwita Ikulu DSM tena hapo bado ni Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ (hakuukana Umakamu kipindi choote hicho japo mawaziri kutoka CUF aliwakataza wasiwemo serikalini akidai Serikali siyo halali),nako akabembelezwa na kukomalia kuwa Mimi nina kura za jumla...UPUUZI MKUU,baadaye wakataka JPM aingilie uchaguzi wa marudio uzuri akawajibu clearly.
Mara akajipa ugonjwa akaomba Mil350 aende matibabu India na kupumzika Oman nako hakumaliza wk2 karudi hapa ugonjwa tena akalazwa kwa hela nyingine aliyotoa DkShein,na akapumzishwa Serena Hotel Dar akatembelewa na DkShein na JPM ambaye akamwambia Dk.Shein nitaendelea mimi kumlipia hapa Hotelini yy na Watu wake.
Uchaguzi ukatangazwa kwa aibu ya kushindwa akazuga kutoshiriki.
Tuliokuwa tunafuatilia matokeo ya awali tuliona alikuwa nyuma sana ya Dk.Shein 32-38% Dk.Shein alikuwa 60-62% ...
Wana-CUF wengi ZNZ wameshamchoka huyu bwana kwa UNAFIKI na hasa ile Serikali ya Umoja.
Kura ya maoni juu ya Vyama vingi kuruhusiwa 80% walikataa 20% walikubali...hii maana yake 2010 Dk Slaa aliipata hii 20% na 2015 Lowassa aliichota 18% ndiyo kupata 38% haya maneno yanaendana na Lissu kuwa walileta wazungu wakawafanyia hiyo tathmini kuwa Lowassa ana 18% hivyo wamtafute ndiyo wakamfuata Gwajima akamsomeshe Lowassa.
Tume ziamke ziwakamate na kuwaamuru wathibitishe haya maneno kuwa WALISHINDA URAIS.
Aliyeisoma ndiye anaijua maana yake nadhani hujaisoma kama umeisoma ww ni mmoja wanaoijua maana yake.Ndefu ila hain maana yoyote
Behold,Kwamba sio CCM inashinda kwa kupindua ukweli na haki na SIO kwa uchaguzi huru sio?
Wewe ndiye unayepotosha. Tangu 1995 CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar. Kila mtu mwenye akili analijua hilo.Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Yekini,Salaam Comrades,

Kama ni story za vijiweni wewe tuwekee story za ofisini uweke kwenye media yako ya uhuru fm we nae ni mpotoshaji tuSuala sio maoni... chamsing ni kuacha upotoshaji ambao hauna tija kwa Taifa hata chembe, thaman ya uongo ni nini hasa!? Aache story za vijiweni kuleta katika media
Nenda kahojiwe wewe utoe yako ya moyoni. Acheni akili mgando.Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Kwa hiyo ulitaka awaongopee kuwa ccm inashinda "kihalali"Zanzibar?Hata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
Yego,Kama ni story za vijiweni wewe tuwekee story za ofisini uweke kwenye media yako ya uhuru fm we nae ni mpotoshaji tu