SASA IMESHINDWA NJE WAMEKATALIWA WAMERUDI NDANI JE HAPO NCHI INAJIENDESHA AU NI SIFAKukopa nayo sifa!? Nchi inatakiwa ijiendeshe kwanza kabla ya kufikiria nje.
Hicho ndicho anachokielewa na kukiamini yeye! Hata kama ungekuwa wewe ndiye unayehojiwa ukaelezea unachokielewa wewe basi elewa angekushangaa kama unavyoshangaa na kuloloma we we!Hata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
Lumumba mmechanganyikiwa, mmeshindwa hata kwenda kukopa nje, kila mkijaribu mnaambiwa mtangazeni mshindi wa uchaguzi ZNZ.
Mmerudi nyumbani kukopa,
Tunafurahia hali hiyo?Lumumba mmechanganyikiwa, mmeshindwa hata kwenda kukopa nje, kila mkijaribu mnaambiwa mtangazeni mshindi wa uchaguzi ZNZ.
Mmerudi nyumbani kukopa,
Tatizo sio kukopa, tatizo ni kukosa sifa ya kukopesheka.Kunguru wa pemba weee,kukopa kwako ni sifa sana eheeeee.
Mkuu naomba unitajie mamlaka ya tume ya uchaguzi! Maana wao ndo wenye idhini ya kutoa matokeo kwa wananchi. Sasa sijui upande wako hizi data unazitoa wapi!?Yekini,
Tuanze na hili la mwisho unapowapa indhar Azam TV waache kunikaribisha kwa
mahojiano.
Mimi si mgeni kwa Azam TV.
Nimefanyanao vipindi vingi sana na na naamini wananikaribisha kwa kuwa kuna faida
inapatikana kwa watazamaji wao.
MImi nimezungumza kutoshinda uchaguzi CCM Zanzibar naamini na wewe umekusidia
hivyo hivyo pia ingawa katika bandiko lako unetaja CCM nadhani ukimaanisha CCM
Tanzania nzima.
.
Mwaka wa 1995 CCM Zanzibar ilishindwa na ikakataa kushindwa kupitia barua ya Ali
Ameir.
Ningeweza kuendelea lakini tuishie hapa kwanza ili urudi kufanya utafiti kuhusu hii
barua ya Ali Ameir.
Mimi sitoki hapa nakusubiri urejee na maelezo ya barua hiyo.
Ndiyo siku zote huwa nashauri kuwa kabla hajakuja jamvini kuchangia angalau basi
mtu afanye utafiti mdogo ili apate kujua ukweli katik hicho anachochangia.
Hayo yote uchaguzi na mapinduzi yanauhusiano mkubwa sana labda ikiwe huijui
historia ya Zanzibar.
Baadhi ya vipindi nilivyofanya na Azam TV:
Mohamed Said: AZAM TV KIPINDI MAALUM CHA MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA
Mohamed Said: WASIFU WA ABEID AMANI KARUME AZAM TV 2015
Mohamed Said: KIPINDI AZAM TV KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI ZANZIBAR 2016
Mohamed Said: AZAM TV: MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA KUMBUKUMBU ZILIZOZIKWA
Mohamed Said: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere -Azam TV
Mohamed Said: KUMBU KUMBU YA MIAKA 54 YA UHURU - AZAM TV 02
Mohamed Said: AZAM TV KIPINDI MAALUM CHA SABASABA KUASISIWA KWA TANU 1954
Mohamed Said: AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA
Yekini,Mkuu naomba unitajie mamlaka ya tume ya uchaguzi! Maana wao ndo wenye idhini ya kutoa matokeo kwa wananchi. Sasa sijui upande wako hizi data unazitoa wapi!?
Maana mwisho juzi uchaguzi wa marudio wa Zanzibaz, Mh. Dr Shein kashinda kwa kishindo.
Nenda ukahojiwe wewe sasa kama unaona unafaaSalaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Hongera sana mkuuYekini,
Haijakuwa nia yangu kuingia katika ubishi kwani hautatusaidia kitu.
Nimesema yale ambayo nayajua nahii kwangu inatosha.
Nimekushauri ufanye utafiti wa barua ya Ali Ameir.
Ikiwa hili limekushinda isikuhangaishe.
Tuliyozungumza yanatosha.