Azam Angalieni watu wa kuwahoji

Azam Angalieni watu wa kuwahoji

Leo Magufuli anashindwa kutekeleza ahadi zake kwa watanzania kwaajili ya uchaguzi wa Zanzibar.Uchaguzi ulikamilika na washindi wa udiwani na ubunge wameshatangazwa.Mbele ya macho ya dunia.Anatokea mtu au kikundi kwa maslahi yao anafuta matokeo yote et kisa Maalim kaonesha idadi ya kura alizopata ambazo zilibandikwa na tume vituoni.haaaahaahaa huu ni uhuni.Na ukitaka kuonekana ni muhuni tetea uhuni.
Misaada imekatwa mtukufu anashidwa kutekeleza ahadi zake sasa anabaki kuwa mkali.hahaa.Atawafunga wengi sana.
 
Leo Magufuli anashindwa kutekeleza ahadi zake kwa watanzania kwaajili ya uchaguzi wa Zanzibar.Uchaguzi ulikamilika na washindi wa udiwani na ubunge wameshatangazwa.Mbele ya macho ya dunia.Anatokea mtu au kikundi kwa maslahi yao anafuta matokeo yote et kisa Maalim kaonesha idadi ya kura alizopata ambazo zilibandikwa na tume vituoni.haaaahaahaa huu ni uhuni.Na ukitaka kuonekana ni muhuni tetea uhuni.
Misaada imekatwa mtukufu anashidwa kutekeleza ahadi zake sasa anabaki kuwa mkali.hahaa.Atawafunga wengi sana.
Inamaana matekelezo ya katika ilani yote hujayaona!?... Vipi Mkuu au haufatilii habari we kukosoa tu!?
 
Behold,
Hebu sikiliza haya mahojiano kati yangu na Fadhili Haule wa Uhai FM
kuhusu kumbukumbu za Mapinduzi ya Zanzibar 1964 nimezungumza
kuhusu chaguzi za Zanzibar kuanzia 1995:
Mohamed Said: KIPINDI MAALUM CHA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 TV AZAM NA UHAI FM 107.30
Bw. Mohamed Said... nimekuja gundua hao watangazaj unaofanya nao majadiliano hawako makini... Fadhil Haule si alikua Times FM huyo, weled hana na afatilii mambo hata ukipotosha ye hajui maana hafatilii... anachojua kutangaza tu.
 
Wewe ndiye unayepotosha. Tangu 1995 CCM haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar. Kila mtu mwenye akili analijua hilo.
Mkuu we wa wapi?! Zanzibar inaongozwa na chama gan!? Please be polite na ongea ukweli japokua unauma..
 
ni punguani tu anayeshindwa kuona jinsi cuf ilivyoporwa ushindi kwa kumtumia jecha
CUF hawa wanaogombana kila siku au wapi!? Wao wenyewe tu wanashindwa jiongoza ukiwapa nchi si balaa ilo!
 
Bw. Mohamed Said... nimekuja gundua hao watangazaj unaofanya nao majadiliano hawako makini... Fadhil Haule si alikua Times FM huyo, weled hana na afatilii mambo hata ukipotosha ye hajui maana hafatilii... anachojua kutangaza tu.
Yekini,
Mimi siwezi kuzungumza kuhusu umakini wa mtangazaji yoyote yule
anaenihoji na katika maisha yangu nimehojiwa na radio nyingi.

Lakini ikiwa wewe katika yale mahojiano umeona kuna sehmu mimi
nimepotosha nakuomba eleza ili nitoe maelezo In Shaa Allah.

iRbLC3eEXV67H4Oo1Vr00TWs34Jcs1Hg_M2fqt1St6LUZbVCjGcFONuSZVeGLzcOmwNTPtyN3A1yMQSo_yWQrDXGup4UX1CJM6QjskLIfp84J-Hk9_RQJCCb8JTuokV38QRNDULJTBPnqaLzkM_iHe-VNaTavzZEPxx6l0ei67EbTptr2Uuu1sVdrZP8f4_u_z-tY4gaQTIJZflIxHkw-E-OEGvY1-YSi49LjBN87zjcuxUXUCKbuF4ttGFMuwxT2xZIAvAra1zH8LzJbUOqQV2LbwCrdIsirKFvmEz129rTigGPz_i0d1T-G7Qn5-Ks40ipb0FFrlQs-5OFiDy3YJJ15MLO4p1vSfgRjcxZfTrFmqhMiGqox_PmC7HCg_C2Smz72jn5-gOznUaR5yLet6KuB8WpoZoROmSKZVhaQW9BcfsMkLb8zdOKBzUvz41CjclYZ7Dfc_rzGTtk5k40qIwawYtSNO_otlj39xjccjBGKJEpFWrZNaztuc4m1ajHB3nAEvYDz6NoLR0BmZz8YImM5FaDLtUNydN7Rh3txlpH3cMC5cVclfzFg2x1zVhlvoKSvuGzBarxBhzgIq6PN3WkWoioX92Rr9xxsWFa2UdddYPt4Xrw=w601-h692-no
 
Salaam Comrades,

Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!

Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.

Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Mimi ni mzanzibari wa kuzaliwa na nimekulia Zanzibar na nimekuwa sehemu historia ya Zanzibar. Historia ya Zanzibar sikusoma kwenye vitabu lakini nimeiishi.
Nampongeza sana Mohammed Said kusema ukweli mtupu kuhusu historia ya Zanzibar na kuwapa nafasi vijana wa sasa kuuelewa ukweli kuhusu nchi yao. Ila nimeshangazwa na mchambuzi mwenza ambae hajui chchote ni mbumbumbu kuhusu Zanzibar lakini amejitambulisha kuwa mhadhiri wa chuo. Zuzu! thumun buqmun,umuyun,kipofu na kiziwi

Hongereni Azam kwa kumpata mchambuzi bora aneielewa historia ya Zanzibar na sio nadharia. Ukweli, siku za usoni ungewatafuta wachambuzi Wazanzibari wawili (kama vile Katibu Mkuu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi na mtu aliefuatana na Karume kuja Tanganyika kuufanya muungano. Watanganyika hawaijui historia ya Zanzibar na wameisoma kwenye vitabu tu. Wako watu wameiishi historia na bado wako hai.

Mimi narejea kusema zaidi ya hayo; ASP/CCM haijawahi kushinda uchaguzi wowote tokea 1961, uchaguzi uliompa madaraka mzanzibari mzawa, Mshirazi. Waziri Mkuu Moh'd Shamte Serikali na kuja kupindiliwa na wakatoliki kutoka Uganda, Kenya na Tanganyika ( Field Marshall John Okell,Eugen,Mfaranyaki); na mimi nikiwa mmoja wa wapiga kura .
 
Tena kwa kishindo... rejea hotuba ya Mh. Dr Shain siku ya Mapinduzi...
Yekini,
Wewe unaweza kusema maneno ya kikauli mbiu hakuna madhara.

Mimi kwa nafasi yangu sithubutu kufanya kitu kama hicho kwani
heshima yangu itakuwa imepotea hapo hapo.

Nitaweza kusema maneno hayo tu ikiwa kweli upo ushahidi siyo
maneno ya ushabiki wa siasa.

Ndiyo ili nikuongoze katika kujua haya mambo na ukweli wake
nikakuambia ufanye utafiti wa ile barua ya Ali Ameir.

Nafanya heshima kwa viongozi wetu siwezi kufanya hapa hadharani
uchambuzi wa hiyo hotuba unayoichukua kama ni rejea yako.
 
Yekini,
Tuanze na hili la mwisho unapowapa indhar Azam TV waache kunikaribisha kwa
mahojiano.

Mimi si mgeni kwa Azam TV.

Nimefanyanao vipindi vingi sana na na naamini wananikaribisha kwa kuwa kuna faida
inapatikana kwa watazamaji wao.

MImi nimezungumza kutoshinda uchaguzi CCM Zanzibar naamini na wewe umekusidia
hivyo hivyo pia ingawa katika bandiko lako unetaja CCM nadhani ukimaanisha CCM
Tanzania nzima.
.
Mwaka wa 1995 CCM Zanzibar ilishindwa na ikakataa kushindwa kupitia barua ya Ali
Ameir.


Ningeweza kuendelea lakini tuishie hapa kwanza ili urudi kufanya utafiti kuhusu hii
barua ya Ali Ameir.

Mimi sitoki hapa nakusubiri urejee na maelezo ya barua hiyo.

Ndiyo siku zote huwa nashauri kuwa kabla hajakuja jamvini kuchangia angalau basi
mtu afanye utafiti mdogo ili apate kujua ukweli katik hicho anachochangia.

Hayo yote uchaguzi na mapinduzi yanauhusiano mkubwa sana labda ikiwe huijui
historia ya Zanzibar.

Baadhi ya vipindi nilivyofanya na Azam TV:
Mohamed Said: AZAM TV KIPINDI MAALUM CHA MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA
Mohamed Said: WASIFU WA ABEID AMANI KARUME AZAM TV 2015
Mohamed Said: KIPINDI AZAM TV KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI ZANZIBAR 2016
Mohamed Said: AZAM TV: MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA KUMBUKUMBU ZILIZOZIKWA
Mohamed Said: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere -Azam TV
Mohamed Said: KUMBU KUMBU YA MIAKA 54 YA UHURU - AZAM TV 02
Mohamed Said: AZAM TV KIPINDI MAALUM CHA SABASABA KUASISIWA KWA TANU 1954
Mohamed Said: AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA
Wape wape vidonge Mzee wangu
 
Apewe onyo kama yalivyopewa onyo hayo magazeti mawili na jpm wetu asilete mchezo kazin
Kayanda...
Mtu anapewa onyo pale inapodhihirika kuwa katenda kosa.
Mimi sijafanya kosa lolote.

Nimeandika historia ya Tanganyika kama walivyoandika wengine.
Sijatukana mtu wala kusema uongo.

Sasa inakaribia miongo miwili toka kitabu kitoke.
Kitabu kwa lugha ya Kiingereza kilichapwa 1998.

Mwaka wa 2002 tafasiri ya Kiswahili ikachapwa Nairobi na ishatoka
sasa toleo la tatu na Kiingereza toleo la pili.

Kitabu kimependwa sana kiasi kuwa nimepokea mialiko kadhaa
kutoka vyuo vikuu kwenda kuzungumza.

Kitabu kimepewa ''review,'' katika majarida ya kisomi Ulaya na Marekani.

Je ndugu zangu hii ni dalili kuwa mwandishi wa kitabu hiki ni mtu anaestahili
kupewa onyo?

Onyo kwa kosa lipi?
 
Salaam Comrades,

Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!

Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.

Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Kama unadai anasema uongo tuambie wewe uchaguzi wa raisi Zanzibar 25/10/2015 nani alishinda??
 
Back
Top Bottom