yekini
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 144
- 91
Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu