mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,850
Afadhari kama hupoyoshi na ukweli uko ndani yako
Uko kwenye mishe au umepumzika kwenye sikukuu ya mapindizi
Afadhari kama hupoyoshi na ukweli uko ndani yako
Ni mtu mjinga tuu asiyejua kuanzia Salmin na wote waliomfuata hawakuwahi kushinda uchaguzi wowote.Ila isiwe kupotosha Mkuu...
Kama ambavyo umeamka hujapangiwa na jirani nguo za kuvaa,huwezi kumpangia mtu kitu cha kuongea.Hata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
TIZAMA WAKATI WA UCHAGUZI WA ZANZIBAR KUNA KUWA NA JWTZ WENGE KULIKO WANANCHI KWA NINI ?Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Kama ulitaka awaze kama we we,muazime kichwa chako,japo najua hata ukimuazima kichwa chako,mdomo wake utagoma kufungukaSalaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
... Umma upi uliopotoshwa? Sema wewe hukubaliani naye...Hata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
Umeongea Point Mkuu... wakichekewa hawa wanaleta kero.Hawa wanapewa kichwa na Tume za Uchaguzi (NEC&ZEC)...
Sheria wanayo ya kuwakamata ,wawakamate wakaonyeshe hizo kura walizoshinda kituo kwa kituo bila hivyo watajipa uhalali na kuonekana Tume zetu HAZIAMINIKI.
Ukiisikiliza na kuitazama hotuba ya Seif Sharif Hamad ya kushinda utaona UPUUZI alioufanya yaani kajitangaza kana kwamba kagombea yeye na Rais Dk.Shein pekee kwa maana ya kugawa 100% kwao tu hamna kura zilizoharibika,walizopata wagombea wengine,wapiga kura wasiopiga nk..
Huyu mwingine wa Muungano baada ya kukamatwa WADUKUZI wake waliomtengenezea ile milioni 6,naye anatangaza kwa kigugumizi ni-ni-ni-limshi-shiinda Maggggufuli.
Seif ilipotangazwa kurudiwa Uchaguzi kabla ya kutangaza tarehe yalifanyika mazungumzo na CCM kuijadili hali na akawa anaenda peke yake mazungumzoni bila hata hao kina Bimani,Jussa wala Mansuri Himid...kila akiambiwa tupe taarifa ya kila kituo jinsi ulivyoshinda akang'ang'ania mie nina taarifa za jumla.
Rais wetu asiyependa blahblah akamwita Ikulu DSM tena hapo bado ni Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ (hakuukana Umakamu kipindi choote hicho japo mawaziri kutoka CUF aliwakataza wasiwemo serikalini akidai Serikali siyo halali),nako akabembelezwa na kukomalia kuwa Mimi nina kura za jumla...UPUUZI MKUU,baadaye wakataka JPM aingilie uchaguzi wa marudio uzuri akawajibu clearly.
Mara akajipa ugonjwa akaomba Mil350 aende matibabu India na kupumzika Oman nako hakumaliza wk2 karudi hapa ugonjwa tena akalazwa kwa hela nyingine aliyotoa DkShein,na akapumzishwa Serena Hotel Dar akatembelewa na DkShein na JPM ambaye akamwambia Dk.Shein nitaendelea mimi kumlipia hapa Hotelini yy na Watu wake.
Uchaguzi ukatangazwa kwa aibu ya kushindwa akazuga kutoshiriki.
Tuliokuwa tunafuatilia matokeo ya awali tuliona alikuwa nyuma sana ya Dk.Shein 32-38% Dk.Shein alikuwa 60-62% ...
Wana-CUF wengi ZNZ wameshamchoka huyu bwana kwa UNAFIKI na hasa ile Serikali ya Umoja.
Kura ya maoni juu ya Vyama vingi kuruhusiwa 80% walikataa 20% walikubali...hii maana yake 2010 Dk Slaa aliipata hii 20% na 2015 Lowassa aliichota 18% ndiyo kupata 38% haya maneno yanaendana na Lissu kuwa walileta wazungu wakawafanyia hiyo tathmini kuwa Lowassa ana 18% hivyo wamtafute ndiyo wakamfuata Gwajima akamsomeshe Lowassa.
Tume ziamke ziwakamate na kuwaamuru wathibitishe haya maneno kuwa WALISHINDA URAIS.
Yesi kipo kigezo kingine zaidi ya kupiga kura ni kufanya mapinduziKuna kigezo kingine zaidi ya kupiga kura!?
Ulizania wote wana akili kama zako, nenda wewe ukahojiwe.Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
muheshimiwa kule katerelo na simiyu ameongea nini?si anachokiamini.Hata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
Yekini,Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Slim5,Bravo Mzee wetu Mohamed Said
Kumbuka ukweli wako si wa mtoa mada. Ameongea akiwa na data na ukimuuliza atakujibu na kurejea research alizofanya. Yakupasa nawe uje kwa data kumpinga.Suala sio maoni... chamsing ni kuacha upotoshaji ambao hauna tija kwa Taifa hata chembe, thaman ya uongo ni nini hasa!? Aache story za vijiweni kuleta katika media