Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,436
Bravo Mzee wetu Mohamed Said
Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Suala sio maoni... chamsing ni kuacha upotoshaji ambao hauna tija kwa Taifa hata chembe, thaman ya uongo ni nini hasa!? Aache story za vijiweni kuleta katika media
Kukopa sio sifa ila kukosa sifa ya kukopesheka ni TatizoKukopa nayo sifa!? Nchi inatakiwa ijiendeshe kwanza kabla ya kufikiria nje.
siku zote jifunze kusikia hata kile usichokipendaHata ka anapotosha Umma sio!? Sio kila unaloliamin we uongee tu, lazima uangalie impact ya maneno yako
Hoja yako ni nini hapa? Ni muhimu ukaelewa kwamba, si huyo mtu mmoja, bali wako watu wengi tu ambao wanaamini kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi kule Zanzibar. Na mtazamo au imani yao hiyo inapata nguvu kutokana na mambo mawili, angalau kwa haraka haraka: 1. Ni kauli iliyotolewa na kada wa CCM ndani ya Bunge la Katiba kwamba CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa ktumia makaratasi (kura) na 2. Rais Shein kurudiarudia kusema kuwa yeye ndiye rais wa Zanzibar. Hii maana yake ni kwamba anajua kuna watu wengine wana rais wao, na sio yeye.Salaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Sasa wewe ulikuwa unataka wamuhoji nani? Au yule ambaye angesema ccm huwa inashinda kwa kishindo....mbuzi meee weweSalaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Si ndo ukweli au!Sasa wewe ulikuwa unataka wamuhoji nani? Au yule ambaye angesema ccm huwa inashinda kwa kishindo....mbuzi meee wewe
Any proof!?Hapotoshi umma huo ndio ukweli ccm haijawahi kushinda Zanzibar zaidi ya kubebwa na time ya uchaguzi chini ya mkoloni Tanzania bara
Dhibitisha basi wewe....Ila isiwe kupotosha Mkuu...
Kakuzidi wewe ndio hujui hujii kituSalaam Comrades,
Naangalia Morning Trumpet hapa Azam TV, wameleta mchambuzi azungumzie mapinduzi alaf anasema CCM haikuwai kushinda chaguzi hata moja... maana yake hajui kazi za tume ya uchaguzi. Mbaya zaidi kahama kutoka katika mada ya mapinduzi ye anakimbilia chaguzi!
Angalizo: Ni dhambi kutumika kwenye mambo ya kupotosha umma wakati ukweli upo dhahiri kua hakuna mwaka Zanzibar upinzani ulishinda ila maona ya watu wenye kupotosha kama huyu anaitwa Mohammed Said.
Plz, naomba muangalie watu wa kuhoji na sio wapotoshaj kama huyu🙂
Wapi wapinzani wameshinda!?Dhibitisha basi wewe....
Ila sipotoshi ndo uzuri wangu,Kakuzidi wewe ndio hujui hujii kitu
Hawa wanapewa kichwa na Tume za Uchaguzi (NEC&ZEC)...Salaam Comrades,