Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.

Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
 
Kuna muda mnamkandia kuwa ana camera mbofu, channel zake hazina picha kiwango cha HD. Kuna muda DSTV anasifiwa kweli kweli. Utasikia wengine wanasema kama azam asingekuwa na kibali cha kuonyesha ligi yetu, ningetupa king'amuzi. Sasa hapa wewe unasema kuwa kama Azam akipata kibali cha kuonyesha epl na uefa, DSTV kwisha.
Mnatuchanganya sisi wenye startimes mjue. Hebu kuweni na msimamo, azam na dstv nani mkali na sisi tuhamie huko.
 
Huu wimbo unahitaji remix sasa!! Kila siku story ni hizi hizi, EPL rights sio ndondo cup kwamba kila mtu anaweza kununua
 
Kuna muda mnamkandia kuwa ana camera mbofu, channel zake hazina picha kiwango cha HD. Kuna muda DSTV anasifiwa kweli kweli. Utasikia wengine wanasema kama azam asingekuwa na kibali cha kuonyesha ligi yetu, ningetupa king'amuzi. Sasa hapa wewe unasema kuwa kama Azam akipata kibali cha kuonyesha epl na uefa, DSTV kwisha.
Mnatuchanganya sisi wenye startimes mjue. Hebu kuweni na msimamo, azam na dstv nani mkali na sisi tuhamie huko.
Atueleze kwa kina
Ligi Kuu tu hapa imewashinda. EPl wataweza
Kuna tofauti kati ya kufanya production na broadcasting (kuonyesha).

Production ni kuzalisha, yani kupeleka vifaa na wataalamu kwa ajili ya kuzalisha hicho kinachoonekana kwenye tv.

Broadcasting ni kuonyesha tuu na sio lazima kufanya uzalishaji.

Kwenye kombe la dunia lililopita, TBC alifanya broadcasting (kuonyesha) tuu.

Kwenye ligi ya Tz, azam anafanya zote mbili yani production na broadcasting, yani anapeleka wataalamu kwa ajili ya mechi (production) na pia yeye azam anaonyesha (broadcasting) hizo mechi.

Kitakachofanyika ikiwa kama atapata kibali cha kuonyesha EPL au UEFA, Azam yeye atafanya broadcasting (kuonyesha tuu) kama alivyokuwa anafanya TBC kwenye kombe la dunia na sio kufanya uzalishaji. Hapa hakuna cha kusema ety azam ana camera mbovu wala mitambo mibovu ila kinachotakiwa ni kuonyesha hizo mechi kwa HD tuu na hata hvy channel zote 9 za azam tv ni HD.

Kwahy ishu ni pesa tuu ili kupewa hicho kibali, ila kwa kuwa azam anaonyesha tamthilia za kibongo bc watu wanaichukulia poa ila azam tv n kampuni kubwa mno hapa Afrika.
 
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.

Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Lakini mechi zisitangazwe kwa kiswahili na waswahili kina ngoda sijui nani nani wazingua Sana visauti vyako wanaharibu mpira wanataja majina Kama Mbappe Lewandowisk kwa kiluga yaani kero ukingalia la liga jau kinoma! wakae kimya tu mpira utangazwe km ulivo na lugha yake
 
Hakika mkuu wnaakera 😂😂😂😂
 
Aliyekuwambia TBC ana kibali ninani. Wote channel za taifa wana copy kutola kwenye ile channel ya Qatari yenye haki miliki ya hayo matangazo
 
Lakini mechi zisitangazwe kwa kiswahili na waswahili kina ngoda sijui nani nani wazingua Sana visauti vyako wanaharibu mpira wanataja majina Kama Mbappe Lewandowisk kwa kiluga yaani kero ukingalia la liga jau kinoma! wakae kimya tu mpira utangazwe km ulivo na lugha yake
Mbona sehemu ya kubadili lugha ipo
 
Kuna tofauti kati ya kufanya production na broadcasting (kuonyesha).

Production ni kuzalisha, yani kupeleka vifaa na wataalamu kwa ajili ya kuzalisha hicho kinachoonekana kwenye tv.

Broadcasting ni kuonyesha tuu na sio lazima kufanya uzalishaji.

Kwenye kombe la dunia lililopita, TBC alifanya broadcasting (kuonyesha) tuu.

Kwenye ligi ya Tz, azam anafanya zote mbili yani production na broadcasting, yani anapeleka wataalamu kwa ajili ya mechi (production) na pia yeye azam anaonyesha (broadcasting) hizo mechi.

Kitakachofanyika ikiwa kama atapata kibali cha kuonyesha EPL au UEFA, Azam yeye atafanya broadcasting (kuonyesha tuu) kama alivyokuwa anafanya TBC kwenye kombe la dunia na sio kufanya uzalishaji. Hapa hakuna cha kusema ety azam ana camera mbovu wala mitambo mibovu ila kinachotakiwa ni kuonyesha hizo mechi kwa HD tuu na hata hvy channel zote 9 za azam tv ni HD.

Kwahy ishu ni pesa tuu ili kupewa hicho kibali, ila kwa kuwa azam anaonyesha tamthilia za kibongo bc watu wanaichukulia poa ila azam tv n kampuni kubwa mno hapa Afrika.
mfano tu ligi ya spain la liga na ujeruman zinavyoonyeshwa.. tatzo washamab wengi kaka humu
 
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.

Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Kwa kisimbusi chao isije ikatokea..kibovu chama cha quality ya chini.
 
Back
Top Bottom