Likasu
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 843
- 406
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
Mijitu mingine mibichwa yao imejaa chuki za kidini tu. ptuuuuuuuuu.
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
nasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.
Ningependa jamaa angewekeza kwenye reli ila sijui kwanini hafikirii hilo
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.
Ningependa jamaa angewekeza kwenye reli ila sijui kwanini hafikirii hilo
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
Ni kweli hata ile nyumba ya Mikocheni sio yake.Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.
ivi ni kwa nn unatumia neno KUSAIDIA wakati mtu anawekeza kufanya biashara? ivi unapopata huduma ukailipia umesaidiwa? ivi ni lini tutaondokana na hii misemo? serikali ikijenga barabara wananchi wanaishukuru kwa KUWASAIDIA bila kukumbuka kuwa wanalipa kodi so ni wajibu wa gvt kujenga barabara. Nakumbuka Bakhressa wakt anaanza biashara ya maji alisema imani yake hairuhusu kuuza maji hivyo anachouza yeye ni chupa za maji watu wakafurah kupata MSAADA wa kuuziwa chupa za maji. Anyway nimeipenda hyo list ya WATANZANIA wenye asili ya TANZANIA. Tuwaombe waendelee KUTUSAIDIA watz
wakuu hii habari njema.. Hatimae azam hivi karibuni itashusha ndege 5 hii itasaidia tulio kuwa tunawategemea fastjet kuturaHisishia safari.... ruti zake ni kirimanjaro,mwanza,zenji,mbeya na mikoa baadhi...Kwa mujibu wa tovuti ya airbus
bakhresa ni shidaaah