Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,419
- 34,222
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
Hebu jaribuni kupevuka kimawazo kwa nini kila jambo mnalitafsiri kidini, je mnasikia raha gani kukwazana wakati wote ni watu wa taifa moja?
Hivi juice na products zake zingine zinauzwa au zinatumika Saudi Arabia? Ustaarabu ni kitu cha bure, kama waona wenzako hawajastaarabika basi anza wewe ili wao wajifunze kwako, lakini kwa hoja zako humu jamvini binafsi sioni kama una mchango wa kuijenga jamii.