Azam Airlines Yaja

Azam Airlines Yaja

Status
Not open for further replies.
wakuu hii habari njema.. Hatimae azam hivi karibuni itashusha ndege 5 hii itasaidia tulio kuwa tunawategemea fastjet kuturaHisishia safari.... ruti zake ni kirimanjaro,mwanza,zenji,mbeya na mikoa baadhi...Kwa mujibu wa tovuti ya airbus

bakhresa ni shidaaah
weka link ya airbus yenye hizo habari.
 
nasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa

Mmh una mawazo aiseeeee
 
Airbus Aircraft
2014 Average list prices (mio USD)
A318 71.9
A319 85.8
A320 93.9
A321 110.1
A319neo 94.4
A320neo 102.8
A321neo 120.5
A330-200 221.7
A330-200 Freighter 224.8
A330-300 245.6
A350-800 260.9
A350-900 295.2
A350-1000 340.7
A380 414.4
 
nasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa
Usikate tamaa, ni mfanyabiashara tu yule hivyo kila jambo linawezekana
 
Akishaleta hizo ndege atakuwa ame bakiza
1, Usafiri wa mabasi
2. Usafiri wa treni.
BIG up Bakressa, utajiri wako watz tunauona ukiinua uchumi wetu tofauti na wale mafisi wanakwiba fedha zetu na kuficha ughaibuni.

Bakheresa mzalendo. Wajinga kama kina vijisent na kikwete wanaiba wanaenda kuficha hukoo. Jamaa anakula hela na investments zake. Mungu amjalie zaidi awasaidie waty wa tanzania.
 
Bakheresa mzalendo. Wajinga kama kina vijisent na kikwete wanaiba wanaenda kuficha hukoo. Jamaa anakula hela na investments zake. Mungu amjalie zaidi awasaidie waty wa tanzania.
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.
 
I believe hizo ndege 'PROF MU-LIAR WA PALE NII-SHAA-TII NA MAA-DINI ATAZIPANDA TU
MAANA BIASHARA YA JUISI NA MATUNDA IMECHANGIA HAPO
 
Naanza kutafuta origin ya jamaa,bila shaka atakuwa na vinasaba na wakinga au wachaga.
 
Nakumbuka Siku za nyuma ilikuja habari ya ujio wa mabasi ya Azam,ikiwa kimya!!
Hii ya leo ni habari njema.
 
Hawa jama wapo serious.Itakuwa poa sana:thumbup:
 
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.

jk amekua procurement officer siku hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom