Air Uganda Imeanzisha Route ya Entebe-Lagos.Hivi ATCL ya Tanzania Iko serious na Biashara kweli?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,743
Hivi Tanzania na Shirika letu la Ndege ATCL tuna kipi tunakiweza ikiwa route profitable kama hiyo tumeiacha?

Badala ya sisi wenye ndege za ukweli tungekuwa na route ya Dar-Entebe-Lagos tupo tupo tuu na haijulikani kama tuko kibiashara au mandege tunayonunua ni ya kupigia selfie au?

Kiukweli Huwa sielewi Watanzania tunaweza jambo lipi hasa.

Inasikitisha sana.
Screenshot_20231029-090442.jpg
 
View attachment 2796443
Viongozi wetu hawako kibiashara zaidi Tanzania ni nchi ya siasa sio biashara mwaka neenda miaka rudi hatujawahi kufanikisha mradi wa biashara wowote we angalia mradi wa BRT wanaenda kufa kifo kibaya, na kuna vigogo watakao leta ma basi wafaidike na hiyo miundombinu ilio jengwa na serikali.
 
Post ujamaa effects ndio hizi Sasa.

Cha maana tulichorithi kwenye ujamaa ni Kupiga porojo Kila mtu ni masta wa mdomo ila hana suluhisho
 
Tusilaumu shirika la ndege tu
Tuangalie je tumefungua nchi kiukweli au misifa tu ooh Mama kafungua nchi

Nchi yenye visa free countries 48 tu duniani ambapo nchi 19 tu Africa ndio tunaingia bila Visa na wao pia

Yaani tuko mkiani kabisa katika mahusiano na mataifa mengine
Hizo nchi ambazo ni visa free utacheka ukozisoma
Eti Fiji, Bahama, Belize, Cayman Island kuna nini huko na nani anaenda

Majuzi nimeona Rwandan Air inatua Heathrow Airport yaani wamefika kutua Heathrow sio hatua ndogo hiyo

Kwanza tutanue wigo la kuwa na nchi nyingi sana kuingia kwa visa on arrival
Nchi masikini ubabe mwingi
 
Hapo ndo watu wanajitokeza kumsifia Nyerere, eti kafanya mazuri, Kinyatta kachia wa kenya msingi wa elimu bora na biashara, nyerere katuachia umasikini, siasa na elimu duni.
 
Sasa hofu ya yote haya msingi wake ni upi? Kenya ni visa free Kwa Nchi zote za Afrika na hakuna shida,Nchi yetu yenye ujamaa mbuzi tunafaudikaje na vikomaa na vikwazo vivivyo vya msingi?

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1718574448603767110?t=fQo_sSyHQ5nER7OHjJdQcg&s=19
 
Hapo ndo watu wanajitokeza kumsifia Nyerere, eti kafanya mazuri, Kinyatta kachia wa kenya msingi wa elimu bora na biashara, nyerere katuachia umasikini, siasa na elimu duni.
Wajinga na mbumbumbu ndio humsigia ila Ukiwa na akili Utajua ndie chanzo Cha umaskini wa Mali na akili tulionao.
 
Hivi Tanzania na Shirika letu la Ndege ATCL tuna kipi tunakiweza ikiwa route profitable kama hiyo tumeiacha?

Badala ya sisi wenye ndege za ukweli tungekuwa na route ya Dar-Entebe-Lagos tupo tupo tuu na haijulikani kama tuko kibiashara au mandege tunayonunua ni ya kupigia selfie au?

Kiukweli Huwa sielewi Watanzania tunaweza jambo lipi hasa.

Inasikitisha sana.
View attachment 2796443
ATCL ni shida sana. walisema muda kwamba wataenda west africa lakini wapi. ATCL wana kila kitu lakini kazi hawafanyi. Kazi kulipana mishahara tu.
 
Domestic fright zenyewe ni shida kipindi cha fastjet route ya mwz to dar ulikua na safari 5 kwa siku, Atcl ina safari mbili na sio za wakika, mda wote kuahilishwa ndo usemee za kuenda west Africa. Sisi tanzania tumelogwa kibiashara kwa kweli.
 
Mzaha gani nimefanya ndugu? Kitu gani kama taifa tunakifanya aggressively zaidi ya teuzi za kupanga safu za 2025? Sisi tumewekeza kwenye siasa zaidi kila jambo tunaliangalia kama mtaji wa kisiasa
Hiyo ndege ya mizigo inayotamba africa nzima ni ya nchi gani? Twambie faida ya hiyo route ukilinganisha na route tulizonazo.
 
Sasa hofu ya yote haya msingi wake ni upi? Kenya ni visa free Kwa Nchi zote za Afrika na hakuna shida,Nchi yetu yenye ujamaa mbuzi tunafaudikaje na vikomaa na vikwazo vivivyo vya msingi?
Mkuu tuna shida mahali fulani kama nchi,
Haiwezekani kila kitu wanakuwa waoga na kujifanya ujuaji wa kijinga
Serikali inashindwa kutoa majibu kwanini diaspora wanatunyima Dual citizenship
Yaani unasikia watu baki ndio wanaongea ooh usalama ooh watafaidi watoto wa vigogo
Yaani sababu za kijinga kabisa
Angalia mimi nina passport nyeusi na ninaingia nchi 152 bila kuomba visa yaani ni kwenda tu nagongewa

Hiyo ndio moja ya passport zenye nguvu duniani na hatuna shida kabisa na heshima juu
Tunapeleka hela zetu kila mahali na wanatupokea kwq heshima
Sasa unakuja kukuta nchi ya 136 duniani karibia na mkia kabisa kwa Ranks za kimataifa
Halafu kuna think tank wa kuwaza Uchaguzi watashindaje basi
 
Hapo kwa passport nyeusi tupe elimu kidogo ndio yaaje hiyo na ya nchi gani hizo ndio mambo nataka.
 
Back
Top Bottom