MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 559
Last edited by a moderator:
nasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa
Wakuu hii habari njema,Hatimae Azam hivi karibuni itashusha ndege 5, hii itasaidia tuliokuwa tunawategemea fastjet kuturahisishia safari.
Safari zake zitakuwa za Kilimanjaro,Mwanza,Zenji,Mbeya na mikoa baadhi.
Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya airbus
Bakhresa ataleta mapinduzi kwenye kwenye usafiri wa anga.
hivi Atc bado ipo?
hivi Atc bado ipo?
Wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....Shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara. Huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduma za FastJet
Bahressa shikamoo hauna mpinzani naonaa
Big up Bakhersa nakutakia maisha mema na mwenyezi mungu akusaidie umekua mstali wa mbele kusaidia watz endelea na moyo huo mzuri bakharesa!! Binadaam akiona una mafanikio atakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mie najua umetoka mbali sana ni siri yako sio wote watakupendaaaa,Tenda Mema usingoje shukrani cheka na watu wotee Salim Bakhresaaa!!
Atazileta kusaidia wanaoenda hija sio za biashara
ata azam tv wanaangalia wanaoenda hijja
hata azam marine wanapanda wanaoenda hijja
hata azam fc ni kwaajili ya mazoezi ya viungo kabla ya kwenda hijja
embu muacheni bakhressa ni binadamu wa kawaida na ni mfanyabiashara usidhani bakhressa ni mtakatifu
Unga ngano Azam
Koni azam,
Chapati Azam
Juice Azam
Malt Azam
Atta Azam
Maboti Azam
Malori Azam
Timu ya Mpira Azam
Na sasa Ndege Azam!
HONGERA ZAKE ila asijlisahau kama Khodokovisky au akamonopolise kama Bill Gates, awaulize hawa kilichowatokea
Wadau hii ni breaking news from reliable sources ya kuwa shirika jipya la ndege liko mbioni kuanzishwa hivi karibuni....Shirika hilo jipya ni Azam Airlines ambayo imeshaweka order ya Airbus tano kwa mujibu ya tovuti ya Airbus....route za ndege hizo zinatarajiwa kuwa ni Dar to Kilimnjaro, Dar to Mbeya, Dar to Zanzibar, Dar to Mwanza na Dar to Mtwara. Huu ujio utatusaidia sana wasafiri wa ndani ambao tumekua tukitegemea sana huduma za FastJet
Well done good news
Hana mpinzani? namimi au kwakuwa sijitangazi.
Hicho kitu mbona sikioni kwenye mtandao wao?
hivi Atc bado ipo?
I hope gharama za Azam Airlines zitaKuwa zina unafuu kama juice zake za Azam
Kama ni kweli...ATC kwaheri