KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,960
- 40,307
Mkuu joro lilikuwa adimu kulipata maana washikaji wanaweka oda mapema sana......kule kwa ostaadh walikuwa wanakula watoto wa kishua sisi parasiter tulikuwa tunakomaa kwa hoseni kama unamkumbuka....Ha ha ha haaa.. mkuu yale makoko yalikua yanaitwa Joro... bila kusahau mihogo ya mafuta ya transformer ya Ustadh pale karibu na fish pond
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums