Namkumbuka mwalimu Mulokozi na biology yake,Machia na physics yake.Lebo yangu nyeusi form 1 na form 2 ni H na form 3 na 4 ni F.Nakumbuka pepa za Lindugani kila jmosi na bila kimsahau hussein wa mihogo kule msituni.
feed our hangry mind.
Nakumbuk hilo song, lilivyo kolevya na kupambwa na misauti mizito bt ilikuwa baridaa sana, enzi hizo.
Lebo yangu ilikuwa nyekundu, full kutawaliwa na mavurugu hii lebo ilikuwa noma sana.
Nakumbuka stiki za mchwaa, fix za mkongo na mambo mengi sana.
VIVA AZANI, LOV U AZANIA.
nimeon niseme kidgo kuhusu Azaboy ili wadau wengine mlete vile vituko, mabifu na Tambaza, mitikqsi ya kukamata watoto wa Zanaki , Jangwani....Fungukeni Azaboy
Ulikuwa Azania miaka gani mkuu, I loved Azania Sec when I was at Primary school, and was selected to join Azania Sec in 1988.
Enzi hizo Mzee Kisamo akiwa Mkuu wa shule na msaidizi wake Mzee Meja.
I shall never ever forget you Azania S.S!
Vv
Dah...Umenikumbusha Jangwani..Enzi hizo Mwl. Mkuu alikuwa Mrs.Mkamati (R.I.P) Mwalimu wa nidhamu alikuwa Mr.Mbowe( R.I.P) Dah...Tumetoka mbali sana..!!
Mwaka 1994 ilitokea shida kati ya Tambaza na Azania nikiwa nasoma Kisambukile form one.Infact ,kulitokea mapambano kati ya wanafunzi wa Tambaza na Askari Polisi.Sitoisahau siku ile.
fanta pasion wapi mkuu! Enzi hizo tulikuwa tunakunywa sun-vita ya orange au black current.Ulikuw mtot fanta pasion, chips yai usikaushee.....eeeh
Ulikuwa Azania miaka gani mkuu, I loved Azania Sec when I was at Primary school, and was selected to join Azania Sec in 1988.
Enzi hizo Mzee Kisamo akiwa Mkuu wa shule na msaidizi wake Mzee Meja.
I shall never ever forget you Azania S.S!
Vv
Dah, kuna wamama wanajitunza aisee,,,alikukumbuka kweli??
Jangwani shule yetu jangwani twaipenda, duuh mmenikumbusha mbali sana.Mabinti tarabushi na maajabu ya chura kujipaka poda!RIP Mama Mkamati
Dah...Umenikumbusha Jangwani..Enzi hizo Mwl. Mkuu alikuwa Mrs.Mkamati (R.I.P) Mwalimu wa nidhamu alikuwa Mr.Mbowe( R.I.P) Dah...Tumetoka mbali sana..!!