Mmh ingekuwa domo. Tusingelala hapa kwa mapicha kichwa kilichoenda shule domo hebu jifunze kwa wakongwe tumekuchoka kwa kweli
Sean Kingston hayuko kwenye chat yani hata akitokezea sehemu watu hawamshangai hata akon kamzidi
Mmh ingekuwa domo. Tusingelala hapa kwa mapicha kichwa kilichoenda shule domo hebu jifunze kwa wakongwe tumekuchoka kwa kweli
Wachache wamekuelewa.upo sahihi
hivi meneja wa at ni Tale au sela
Huyu jamaa mambo yake ni kimataifa kitambo na hana shobo.
Hapa wala husikii ndio Mtanzania wa kwanza kuimba na Sean Kingstone, hizi ndio faida za kukulia Upanga.
Huyu jamaa mambo yake ni kimataifa kitambo na hana shobo.
Hapa wala husikii ndio Mtanzania wa kwanza kuimba na Sean Kingstone, hizi ndio faida za kukulia Upanga.
Kwan hukizariwa upanga hukifa hutakuwa huwozi
AY hajajaliwa domo yeye ni vitendo tu tena International.
Ingia mwenyewe kwa Mirlad Ayo dot com uone kipande cha video mpya ya AY ndani ya USA.
Mi sishangai AY kupiga collabo na Sean Kingston, kwani jamaa alikuwa zamani siku hizi ashapotezwa katika game vibaya vibaya. We maisha ya mtu kama yule ukiona networth yake we huwezi kuamini kabisa, kwa hiyo kupiga Bongo fleva mi sishangai.
Wakati aliokuwa anapiga nao muziki ni mamilionea wa kutupwa lakini anangalia yeye:
NET WORTH:
$2 MILLION
DATE OF BIRTH
FEBRUARY 3, 1990
PLACE OF BIRTH
MIAMI
PROFESSION
SINGER, RAPPER, ARTIST, RECORD PRODUCER
CATEGORY
Mchambawima.wewe umekulia wapi..?
Kwan hukizariwa upanga hukifa hutakuwa huwozi
Mchambawima.
Joto hasira, usiniambie hautamani kuishi Masaki Toure drive.
Tuondolee ushuzi hapa na mikogo yako ya kikekike hapa. Nyie ndo mnaishi nyumba za msajili(NHC) lakini kwa tambo hata waliojenga hawaoni ndani.
Pimbi wewe wahindi wamejenga wapi? Utajifananisha nao kwa sababu ya banda lako la mgongo wa Tembo Mbagara Kiburugwa?
Hahahaha ama kweli we punga na ungebahatika kuishi ninapoishi ndo tambo zako zingeongezeka mara dufu... sababu za wahindi kuishi kwa msajili zinaeleweka. We mswahili ni njaa tu ndo zimekupeleka huko...
Ndo msanii anayependwa na wasanii wote hapa A.mashariki.
Role model wa ally kiba.
Jagual ana mkubali kuliko Maelezo!!
Msanii wa kwanza kufanya colabo na psquare
Ambwene ni ordinary talent,sio extraordinary!!
#team East Coast Army till am die!!
Kwa ambwene,nitakesha hapa na nyie