AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

Kuna kitu nakipata hapa kupitia comments zenu,soon ntakisema...naendelea kukusanya tuuu data kwa kutumia uzi huu na zingine zilizopita.
 
Ay ni mfanyabiashara...wasanii wenzake wanajua ukubwa wa jamaa ndo maana hutokaa ukasikia msanii yeyote bongo anamvimbia..jamaa ana mifereji mingi....Ay na fa wanajua kujipenyeza,angalia wanaohang nao nje ya music ndo utajua..kesi ya ringtone kwa usaidizi wa Alberto msando alivuta doo refu ambalo angelikamata naniliu media zote ingekuwa headlines

Ndio maana Siku hizi AY na Alberto ni kama pete na kidole sikuelewa
 
Mi sishangai AY kupiga collabo na Sean Kingston, kwani jamaa alikuwa zamani siku hizi ashapotezwa katika game vibaya vibaya. We maisha ya mtu kama yule ukiona networth yake we huwezi kuamini kabisa, kwa hiyo kupiga Bongo fleva mi sishangai.

Wakati aliokuwa anapiga nao muziki ni mamilionea wa kutupwa lakini anangalia yeye:

NET WORTH:
$2 MILLION​

DATE OF BIRTH
FEBRUARY 3, 1990​

PLACE OF BIRTH
MIAMI​

PROFESSION
SINGER, RAPPER, ARTIST, RECORD PRODUCER​

CATEGORY
 
Tena ni kipenzi cha wanahabari wote wanaoujua huu muziki wa kizazi kipya, sio hawa ambao wanakesha kwenye kumbi halafu wanajiita waandishi
 
Ni balozi wa Samsung
Balozi wa ile program ya kilimo aliyoenda kule w.house
Alilipwa dola 80,000 aliposain kua balozi wa airtel

Hukuwahi kumuona kwenye tangazo la voda?

CEO wa Unity entertainment

Na sahizi yupo Kenya na big guns wa east Africa,project ya maana INA endelea.

Last two weeks alikua america kudiscuss dili na you tube

Kabla hajaenda huko alikua rwanda,akaenda Dubai then USA

Anaitwa #fly boy ambaye wanatembea angani zaidi kuliko ardhini
Am out

Enhenhe angekuwa mwafulaaani,tungejutraaah
 
sawa mkuu
 
Kwa hiyo ndio mtanzania wa pili kwa kuishi angani muda mrefu baada ya le profeser??
 
Mmh ingekuwa domo. Tusingelala hapa kwa mapicha kichwa kilichoenda shule domo hebu jifunze kwa wakongwe tumekuchoka kwa kweli
 
Back
Top Bottom