AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

kumkubali kwako AY kusikufanye umchukie diamond unaweza wasupport wote ili mzk ukue zaid

Asante..

Natamani watanzania wote tungekuwa na akili kama hizi.

Nikirudi kwa my brother Ambwene nadhani it's time awekeze pakubwa sasa....hizi kollabo na kina Sean Kingstone na lil romeo sio size yake kabisa....
I trust in him ataanza kusalandia walau na kina akon maana access ya kuwapata anayo....
Jiulize who's Sean kingstone kwa sasa????natamani aweke dau refu ili amtafte mtu wa maana ambae atamuweka pazuri...
Peter na Paul wanakula maisha kwasababu wamejiweka kwa akon akawatengenezea njia ya kollabo na rozey ambae anasikika...bila shaka utaskia psquare ft usher au brizzy very soon....
Bravo kwako bro ambwene aka rais wa Mbudya.
 
Ni kweli Ay hana talent ya kuziiidi.. ila elimu na malezi yake yamemfanya ajue michongo mingi kimataifa. Kuwa balozi wa makampuni na miradi mbali mbali, Nyimbo zake kupigwa kwenye ndege na apps mbali mbali ndio zinazompa pesa.
 
Mdogo mdogo,nyuma ya jamaa kuna vuchwa kibao halafu kawapa direction wasanii kibao za nje

Why rais wa mbudya?
 
Ni kweli Ay hana talent ya kuziiidi.. ila elimu na malezi yake yamemfanya ajue michongo mingi kimataifa. Kuwa balozi wa makampuni na miradi mbali mbali, Nyimbo zake kupigwa kwenye ndege na apps mbali mbali ndio zinazompa pesa.

Hiyoo inaitwa kujitambua na kujibrand....
Watanzania wengi(sio wanasanaa pekee) hatujui kuji brand....hiii inapelekea hata tukiona mwenzetu anajibrand tunaona kama "kapitiliza" hivi...
So wachache wanaoelielewa hilo eneo wanafanikiwa sana.
Yaani mtu anakula sio tu kwa show Bali kwa his name...
Sasa kuna wengine wasipopata show mwezi mzima na mama mwenye nyumba anafukuza,aibu ilioje.

Ndiomaana nawasapoti wote wanaojielewa,kwamba vipaji vyao vipo ili kuwapa kwanza kula wao,familia zao na watu wa karibu,kisha ndio burudani ifuate.
 
Ay pia ni mmoja kati ya wamiliki wa mkasi show,yenye wadhamini Airtel,tusker.

Kipaji sio kila kitu hapa duniani!!

Qchief,ana kipaji kuliko ay
but,hawezi kupata sponsorship yeyote kwani hajaji brand!!

Kuna
 
Hio niliiweka kiporo nijee niiweke baadae,sema sio mbaya umeniwahi tuuu
 
Ay pia ni mmoja kati ya wamiliki wa mkasi show,yenye wadhamini Airtel,tusker.

Kipaji sio kila kitu hapa duniani!!

Qchief,ana kipaji kuliko ay
but,hawezi kupata sponsorship yeyote kwani hajaji brand!!

Kuna

AY anamiliki kampuni inayoproduce MKASI show!
 
Mlioanza kufuatilia mziki kipindi cha T101 AAA hamuwezi mkawa mnaelewa harakati za huyu jamaa so pigeni kimya.
 
Ni kweli Ay hana talent ya kuziiidi.. ila elimu na malezi yake yamemfanya ajue michongo mingi kimataifa. Kuwa balozi wa makampuni na miradi mbali mbali, Nyimbo zake kupigwa kwenye ndege na apps mbali mbali ndio zinazompa pesa.

Watu wa tandale hawaujui msamiati huu.
 
Ay ni mfanyabiashara...wasanii wenzake wanajua ukubwa wa jamaa ndo maana hutokaa ukasikia msanii yeyote bongo anamvimbia..jamaa ana mifereji mingi....Ay na fa wanajua kujipenyeza,angalia wanaohang nao nje ya music ndo utajua..kesi ya ringtone kwa usaidizi wa Alberto msando alivuta doo refu ambalo angelikamata naniliu media zote ingekuwa headlines
 
Ile ya tigo?
 
Back
Top Bottom