AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

mi nashangaa mnaposema Kingston si kitu kumbukeni ay alianza mikakati hii wakati Kingston yuko juu kipindi kile kaja tz....but vitu hivi haviji haraka so kuweza kupiga nae mzigo now sio kwamba jamaa kachoka but at AY alianza kitambo jamaa akiwa juu....AY ni raha tu

even Kingston alikiri mwenyewe kwenye media atapiga colabo na AY
 
Wewe na baba'ko na ukoo wako mnayo pesa hii?

Ukitaka kumjibu kila mtu humu, matokeo yake ndio haya. Baba yangu nahusika vipi hapa?
Anyway, mimi hapa ni anony tu, sasa nikikwambia hiyo pesa ninayo utanibishia vipi?
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom