Awamu hii kama huna deni mshukuru Mungu

Awamu hii kama huna deni mshukuru Mungu

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,998
Waungwana Salam sana,
Kipindi hichi kama huna deni pahali popote basi jua kabisa una kipato kizuri, na mshukuru. Sana Mungu
Mimi binafsi nina deni kwenye kikundi, laki moja,
Mchango wa harusi elfu 55,
Ada ya mtoto shule bado laki moja,
Kwenye jumuia (katoliki) nina deni la elf 80,
Kwa wale Wenye madeni kama mimi tupeane tupeane uzoefu wa jinsi ya kulipa madeni madogo na makubwa
 
mimi nadaiwa elfu kumi tu lakin sim kama zote napigiwa leo kanambia anakuja saa kumi na moja asubuh kunigongea kwel maisha hatufanan
 
Ja

Jaribu kumwazima mtu mwingine ili uumlipe huyo kwanza anayekusumbua
 
Back
Top Bottom