Awamu hii kama huna deni mshukuru Mungu

Awamu hii kama huna deni mshukuru Mungu

Waungwana Salam sana,
Kipindi hichi kama huna deni pahali popote basi jua kabisa una kipato kizuri, na mshukuru. Sana Mungu
Mimi binafsi nina deni kwenye kikundi, laki moja,
Mchango wa harusi elfu 55,
Ada ya mtoto shule bado laki moja,
Kwenye jumuia (katoliki) nina deni la elf 80,
Kwa wale Wenye madeni kama mimi tupeane tupeane uzoefu wa jinsi ya kulipa madeni madogo na makubwa
Nna deni la tsh lak 3 kwenye kikund nmepanga silipi wakate kwenye hisa zangu mzunguko unapoisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sioni mtu mwenye deni la maana hapa..? Yaani michango ya harusi na m-pawa ndio mnaita madeni?

Angalau kidogo LEMA akiongea ntamuelewa.
 
Back
Top Bottom