bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Teh teh teh teh.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana Salam sana,
Kipindi hichi kama huna deni pahali popote basi jua kabisa una kipato kizuri, na mshukuru. Sana Mungu
Mimi binafsi nina deni kwenye kikundi, laki moja,
Mchango wa harusi elfu 55,
Ada ya mtoto shule bado laki moja,
Kwenye jumuia (katoliki) nina deni la elf 80,
Kwa wale Wenye madeni kama mimi tupeane tupeane uzoefu wa jinsi ya kulipa madeni madogo na makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app