Uvelia
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 640
- 1,194
Wakienda wapi?Wenzako wakienda kuchukua clearance letter unakuta wanaambiwa mmmh mbona una deni la 4mil.
Usiombe yakukute.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakienda wapi?Wenzako wakienda kuchukua clearance letter unakuta wanaambiwa mmmh mbona una deni la 4mil.
Usiombe yakukute.
Sent from my iPhone using JamiiForums
6years.
Hiyo 6% ndio utaratibu kwa wote au?kuna engineer anadaiwa mil24 loan board
na anakatwa laki na nusu! na kila mwaka wanaongeza 6% kwa salio la mkopo hapo loanboard! atazeeka akidaiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinoma aiseemimi nadaiwa elfu kumi tu lakin sim kama zote napigiwa leo kanambia anakuja saa kumi na moja asubuh kunigongea kwel maisha hatufanan
we furah mkuu Ila ndo Hali halisi acha tu maisha aya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinoma aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wakiitwa watu wenye madeni na wewe unaitikia wito?Waungwana Salam sana,
Kipindi hichi kama huna deni pahali popote basi jua kabisa una kipato kizuri, na mshukuru. Sana Mungu
Mimi binafsi nina deni kwenye kikundi, laki moja,
Mchango wa harusi elfu 55,
Ada ya mtoto shule bado laki moja,
Kwenye jumuia (katoliki) nina deni la elf 80,
Kwa wale Wenye madeni kama mimi tupeane tupeane uzoefu wa jinsi ya kulipa madeni madogo na makubwa