Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
Uvelia naomba nikulipie deni lakoNadaiwa na loan board na deni linaisha mwezi ujao. Nashukuru Mungu.
Maendeleo hayana chama
Uvelia naomba nikulipie deni lakoNadaiwa na loan board na deni linaisha mwezi ujao. Nashukuru Mungu.
Beira una uhakika pale mabatini haudaiwi?
Mtaani huko hudaiwi popote. MkuuTALA na Branch,
Tala huwa hawanisumbui tena wananidai pakubwa,. Ila sasa hawa Branch wananidai ela ya vocha tu lakini kila asubuhi ni vitisho tu... Mwisho wanamaliza na neno lipa sasa/lipa leo
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Tusaidiane kulipa basi wadaiwa wote, tunaanza langu baadae lakoHata mimi eatel wananidai bando Lao Lina mwezi sasa, kifurushi Nafanya kurusha
Duh hatari lakini salamaDadeq nadaiwa mno
Milion 14 loan board
Milion 12 Nmb
Elfu 20 tala
Mia saba hamsini nipige tafu
Elfu 50 mchango wa harusi dedline ni kesho
Laki na nusu _mtu binafsi
Elfu 72 kodi
Hahahahahahahahahahahahahah nimewaza nimejikuta nacheeeeeeeeeka sana
Alafu maisha lazima yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku mtaani sina deni popote paleMtaani huko hudaiwi popote. Mkuu
Haaaa a haaaa haaaa du we unaongoza wengine wanafuataSidhani kuna mtu kati ya mlio comment mpaka sasa ana madeni kama mimi.
Mpawa
Branch
Tala
HESLB
Kodi ya TANESCO
Maji
Vocha / Nipige tafu.
CRDB
Amana Bank
Fundi ujenzi
Mengine Nimesahau
Sent using Jamii Forums mobile app