mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
Zaidi ya mara nne hivi nimemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro na sasa mstaafu akitajwa/kuitwa Dr. Hata ktk kadi za mialiko mfano kwenye sherehe ya Police Day alialikwa na kuandikwa Dr Chicco (Rtd SACP). Je,alisomea/kutunukiwa wapi?