Awadh Chicco (Rtd SACP) alipatia wapi PHD?

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Zaidi ya mara nne hivi nimemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro na sasa mstaafu akitajwa/kuitwa Dr. Hata ktk kadi za mialiko mfano kwenye sherehe ya Police Day alialikwa na kuandikwa Dr Chicco (Rtd SACP). Je,alisomea/kutunukiwa wapi?
 
haya majitu sijui lini yataridhika na blessings mungu alizowapa....hayataki kukubali timelines....sasa linajiita "Dr" ili iweje?Attention seekers!!!Yanahitaji councelling haya ma-insecure attention seeker magamba old men!
 
J.K alicheza kumweka pembeni, alilichafua sana jeshi la polisi

Haijawahi kutokea jambazi kama huyu jamaa tz

Dhuluma, muuaji, mrukiaji wadada
 
Nakumbuka wakati nasoma huko moshi jamaa ndo alikuwa rpc wa klm,jamaa alikuwa na ukwasi wa kufa mtu wanajamvi, uzuri hata jk nafikir alikuwa anamjua sana coz alipoingia tu alimpga chini fasta!!! Akaja kuwa desk officer pale makao makuu!!!
 
Mohamed Chico na co Awadh Chico.
Labda alisoma online., hata hivyo ni miaka mingi amestafu labda alijiendeleza.
 
Huyu bwa na alipewa hiyo PHD na watalii fulani kutoka chuo fulani cha UK ,walitembelea mlima Kilimanjaro akawakilimu sana tu,japo kwa navyo mjua sna uhakika kama hao watalii walikuwa wa kike au wakiume,kama ni wa kike then I can guesss on what transpired.Then walivyorudi kwao wakamtunuku PHD ya hospitality,huyu bwana ni mzuri katika hospitality ndio maana baada ya kustaafu pamoja na kuwa commissioner kakubali kuwa meneja wa baa ya polisi pale osterbay,ana utajiri wa kutisha tu ,shangaa anakubali miradi yake ijiendeshe yenyewe yeye anasimamia baba/canteen ya polisi,sijui kuna agenda gani hapo
 
Taaluma yake ni ubaharia na alibobea ktk mambo ya uhudumu ndani ya meli kabla ya kujiunga na Polisi,
PhD aliyopewa ni ya Hospitality na watalii aliowakarimu akiwa mkoa Kilimanjari kama RPC
 
Huyu bwa na alipewa hiyo PHD na watalii fulani kutoka chuo fulani cha UK ,walitembelea mlima Kilimanjaro akawakilimu sana tu,japo kwa navyo mjua sna uhakika kama hao watalii walikuwa wa kike au wakiume,kama ni wa kike then I can guesss on what transpired.Then walivyorudi kwao wakamtunuku PHD ya hospitality,huyu bwana ni mzuri katika hospitality ndio maana baada ya kustaafu pamoja na kuwa commissioner kakubali kuwa meneja wa baa ya polisi pale osterbay,ana utajiri wa kutisha tu ,shangaa anakubali miradi yake ijiendeshe yenyewe yeye anasimamia baba/canteen ya polisi,sijui kuna agenda gani hapo

Under the carpet inadaiwa bwalo la maofisa wa polisi o'bay ambalo yeye eti ndo meneja eneo lile lishauzwa/kutafutiwa mwekezaji yeye akiwa organizer mkuu!
 
Back
Top Bottom