Avatar yangu ndio tatizo au??

Afrodenzi to do list

1. add Salito as a friend=:poa
2. answer Salito's thread=:poa
3. Give Salito like=:poa
4. More rep power for Salito=:poa

5. decorate Salito's name and this thread=:poa

0092.gif
Have a nice day :)

nimeipenda hiyo sana
 
Hongera Salito, nafikiri sasa umetambua kuwa tatizo sio avatar, ilikuwa swala la muda tu. Karibu sana...nami nimetuma maombi ya urafiki......!

Be blessed.
 
Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata hamchangii kulikoni??halafu wajameni mbona hata likes sipati??msinifanyie hivyo wajameni nisameheni bure kama kuna tatizo au avatar yangu ndio inatibua nyongo zenu??maana nyie nao mhhh......kidogo tu mnamaindi...

Kuwa mvumilivu utapata tu.
 
tuko bize na maombolezo ya memba mwenzetu da Regia.. jaribu tena badae..
 
Nimekubali urafiki na wewe B, ila sasa sijui tutapinga wapi na nani atakata. Sharti langu naomba unicheat manake mi kukucheat lazma (nna kwaresma ya kutenda dhambi bila kuhesabu)
King'asti,naomba tuwe marafiki,nakuahidi nitakuwa mwadilifu,no cheating!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom