Avatar yangu ndio tatizo au??

Avatar yangu ndio tatizo au??

kwa hiyo wewe unapumuliwa kisogoni halafu unawapumulia na wewe au sio?

Hapana ninampenz wangu ambae ni gel,amekubaliana na yote na nashukuru tunapendana.hatupo huko kabisa
 
Nijuavyo shemale huwa na sura ya kike kukujua ni mpaka mtu akusaule nguo ndio ajue sasa utasemaje ni katikati ya waliokamilika?

nimesema ni kati ya waliokamilika miongoni mwetu,maana wengi mashine huwa na matatizo na wanakuwa na michezo kama hiyo uliyosema wewe.
 
Haya ingia kwenye profile langu!kuna sehemu wameandika 'add as friend',unabofya pale,then fuata maelekezo,utakuwa umeni add kama rafikio!umenielewa?kama ndiyo nipe 'like'.

Nimekupata nashukuru sana
 
Bidada jamani me sio she mamito ni shemale,sijui kama unatufahamu vizuri,ila wengine wanatuitaga madume jike..jaribu kuchek kwenye net kwa habari zaidi za shemale ili upoe moyo wako na bishanga jamani..

Correction!

Shemale=jike dume=??????????????
 
Jamani msitutenge na sisi pia tupo kwenye jamii....halafu mjue nipo serious mwenzenu...ni shemale kweli,nimeona nijitangaze maana mtaani sina raha watu kutwa wananinyooshea vidole.
mmmmmhhhhh,
kweli jf ni zaidi ya uijuavyo!
 
Correction!

Shemale=jike dume=??????????????

shemale ni wanaume kwa kiungo cha uzazi,lakini ni wanawake kwa maumbile mengine ya mwili.yaani kimuonekano wa macho utasema ni mwanamke kabisa ila nguo zikitolewa mhh...ni dume...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom