Avatar ya Heaven on earth

Avatar ya Heaven on earth

Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni
Aisee, roho na ikutoke kabisa! ........kumtia machoni, halafu???? wa ntu huyo, ..................ni sumu! umesahau????? Mods futa huu uzi!

^^
Kumwona? Mke wa ntu huyo..ngoja UNDENIABLE aje hapa
^^
Nimemsoma sana, wanaanzaga hivi hivi! Himidini hujambo lakini wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom