Avatar ya Heaven on earth

Avatar ya Heaven on earth

utafutaji sasa Lady doctor si unajua mipango ya hapa mjini, yeye mwenyewe kaniambia eti anataka gari nzuri, akilipanda tu pichu inaloa! sasa unadhani mm nitafanyaje na nataka nitimize matakwa yake kwa kadri niwezavyo! unajua kuna siku moja Mrembo by Nature katoa dongo eti wanaume makini wapo mishemishe wanasaka nyururu hawashindi humu JF, na nilimwelewa vema!

Hahahah kama ulipata somo ninashukuru sana japo wapo walionirushia mawe fatuma ikabidi niyakane fasta
 
Special dedication to Heaven on Earth
Down in the lonely broken heart
Touched by a loving arm of Mshanajr
Chords that are broken
Will vibrate once again!!

Hata sisi timo aisee

hii imedoda mkuu!
wife yupo hapa ubavuni anahema kwa kishindo, chezeiya mziki wangu weiye!
kama unaangaliaga futiboli kaangalie mikanda ya ronaldinho gaucho ndio utaelewa huu mchezo ulivyochezwa!
 
hii imedoda mkuu!
wife yupo hapa ubavuni anahema kwa kishindo, chezeiya mziki wangu weiye!
kama unaangaliaga futiboli kaangalie mikanda ya ronaldinho gaucho ndio utaelewa huu mchezo ulivyochezwa!

Aah wapi mbona yupo kwangu since las nite kama huamini muulize! Huyo ulonaye ni copy
 
Aah wapi mbona yupo kwangu since las nite kama huamini muulize! Huyo ulonaye ni copy

we endelea kupambana mkuu, hata hivyo wanasema askari kufia vitani sio aibu ni ushujaa! kwa hiyo hata wewe ukifia haya mapambano ni ushujaa vile vile au unasemaje?

ngoja kwanza nimembeleze wife mkuu! nitakucheki baadaye!
 
Hahahaaaaa
 
mapemzi unayonipa sijawahi kupataa......

Najiuliza ni kwanini hatukujana mapemaa!!!!!!!!!!!
 
mapemzi unayonipa sijawahi kupataa......

Najiuliza ni kwanini hatukujana mapemaa!!!!!!!!!!!

usijali, jambo jema halichelewi hukawia tu! nitajitahidi niwezavyo nifidie hadi zamani! niambie wangu wa ukweli! unajua jana umenifurahisha, eti unasema dunia ilisimama ulipokuwa mbali na mimi! ila we mcheshi sana ujue thus why i love you sana!
 
Usaijali bebi Kuna kamsemo kanasema: a strong wood is from a strong wind, hivyo usijali tumeidhihirishia ulimwengu hao strong we are! thanks sana mshana jr!
Nimekubali mimi kushindwa jamani japo......!naomba niwe mrithi officially in the case of ur .....xpiry
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom