Avatar ya Heaven on earth

Avatar ya Heaven on earth

Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni

JF you think you knew the person by EMT
 
hahaaa uwi ndo nimekuja sa hivi

Waoooooo asavali umekuja Kidogo ning'olewe meno bila ganzi kisa tu nimekufyagilia, hata wengine wamekomalia kuwa wana hati milki kwako tena kwa asilimia mia na moja, madame kanitishia hata kunishtaki, Afadhali umekuja nayasema yote yote kabisa
 
we sema usiache hata moja,
jana nilikuwa bize na ziara ya Obama but am back
 
Aisee, roho na ikutoke kabisa! ........kumtia machoni, halafu???? wa ntu huyo, ..................ni sumu! umesahau????? Mods futa huu uzi!

Nimemsoma sana, wanaanzaga hivi hivi! Himidini hujambo lakini wewe!

we UNDENIABLE ulikuwa wapi siku zooote hizo hadi kuna watu wanataka kinitia machoni huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom