Jamani kisim changu cha mchina kimefanikiwa kufungua avatar za warembo wa Jf, ila avatar ya Heaven on Earth yataka kuntoa roho wallah!!! Natamani kumtia machoni
Mzee nilimaanisha kisimu Mkuu ucjedhani kissme

Khe! Una maswali mengi kwani wee ni polisi?
ndiyo, haya nijibu fwasta kabla sija kuarest!