Avatar ipi mnaipenda?

Avatar ipi mnaipenda?

Ni Avatar gani Mwanakijiji aitumie?

  • Napenda ya mzee mwenye Jembe (ya zamani)

    Votes: 52 59.1%
  • Napenda ya mzee mwenye mkwaju (mpya)

    Votes: 35 39.8%
  • Asitumie Avatar yoyote

    Votes: 1 1.1%

  • Total voters
    88
Rudisha ya zamani kama inawezekana mkuu. Kwanza nilivyoona tu hii picha ya sasa nilifikiri mkuu wetu Balantanda ndio kishazeeka sasa. Unajua huyu Balantanda akishazeeka atakua kama hii avatar yako MKJJ ya sasa. Any way just an opinion.
 
Yaani mzee MMM Mwanakijiji unaweza vipi kukataa mawazo ya wengi, demokrasia ikizingatiwa?
hebu do the needful, hii ya sasa huyu zmee namwona kama wa Afghanistan kabisa kule lo

kama walivosema wengine ile ya mwanzo ndo brand yako so usiipotezee

On a very serious note, kubadili avatar kunaweza kutafsiriwa kubadili misimamo, fikra, paradigms etc,, mwaka huu wa uchaguzi, hebu tuambie jimbo gani mkuu ili tukusupport?
 
Kwa kweli ya mwanzo kabisa ni hii avatar yangu nikiwa kijijini. Ndiyo tuliyoanza nayo kabla ya ile nyingine ya jembe mkononi.
 
...Rudisha ya zamani. Inaonesha uhalisia wa mwanakijiji ambaye habadiliki miaka nenda mika rudi kutokana na mifumo mibovu ya watawala wetu. Inawakililisha wanakijiji wengi. Imetulia ile!!!!!!
 
Yaani mzee MMM Mwanakijiji unaweza vipi kukataa mawazo ya wengi, demokrasia ikizingatiwa?
hebu do the needful, hii ya sasa huyu zmee namwona kama wa Afghanistan kabisa kule lo

kama walivosema wengine ile ya mwanzo ndo brand yako so usiipotezee

On a very serious note, kubadili avatar kunaweza kutafsiriwa kubadili misimamo, fikra, paradigms etc,, mwaka huu wa uchaguzi, hebu tuambie jimbo gani mkuu ili tukusupport?

Napenda ya mzee mwenye Jembe (ya zamani)
bar2-l.gif
bar2.gif
bar2-r.gif
clear.gif
4663.01%Napenda ya mzee mwenye mkwaju (mpya)
bar3-l.gif
bar3.gif
bar3-r.gif
clear.gif
2635.62%Asitumie Avatar yoyote
bar4-l.gif
bar4.gif
bar4-r.gif
clear.gif
11.37%

Mzee hiyo si ndo democrasia yenyewe?
 
kwa kweli ile ya kwanza ilikuwa bomba kwani ilikuwainawakilisha kauli mbiu ya kilimo kwanza japo ya ss nayo si mbaya sana kwani inaonyesha mabadiliko baada ya kilimo kwanza big up tumia hii mpya
 
Kwa kweli ya mwanzo kabisa ni hii avatar yangu nikiwa kijijini. Ndiyo tuliyoanza nayo kabla ya ile nyingine ya jembe mkononi.

Mkuu mimi ni mmoja wa watu walio vote kurudisha "mzee mwenye jembe". Asante kutuonyesha ulikotoka, surely inaonyesha muendelezo mzuri, hii ya mwanzo inaonekana ni mzee aliye kuwa bado nguvu, hivyo ulichapa jembe vilivyo; ya jembe inaonyesha baada ya kupiga ardhi kwa sana bila "kutoka"...ukaendelea kulima lakini ukaanzisha mapambano... ya hapa jamvini!!!

Mkuu turudishie mzee wetu mwenye jembe.
 
Mwanakijiji hii ulioweka si ndio ile ulikuwa unatumia kabla hujaweka ya jembe?sasa ni ipi ya zamani?
 
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui wapiga kura mnasema niendelee na hii mpya watu wataizoea au nirudie ile ya zamani ambayo kama mmoja alivyosema ni "brand image"..
Binafsi ningekuwa mshauri wako naipendekeza ile ya mwanzo ambayo kwangu mimi ina zaidi ya kuwa Avatar. Mimi MM maana yake ile picha na ndio hasa nafikiri ilihitaji muda sana kuweza kupata Avatar ambayo inareflect jina ulilolichagua (wakati huo). Wakati mimi naamini uzoefu ni kuishi zaidi wasiwasi wangu unakuja pale ninapoona huheshimu creation zako za mwanzo ambazo kwa maoni yangu naona ulikuwa sahihi zaidi.

Ni mtazamo tu, uchaguzi wa kweli unao mwenyewe.
 
Babu nakuomba basi urudishe ile ya mwanzo naona sasa hii sasa sio nzuri kwa ajili yako
 
Bado hii hoja inajadiliwa? Jamani kweli tumekosa mambo ya kudiscuss mpaka tunashupalia kudiscuss Avatar ya mtu? Am worried!
 
hii ya sasa nzuri!naona kama upo kijijini kwangu KIPONZERO ''wikaatilaaa'' lol😀😀
 
Bado hii hoja inajadiliwa? Jamani kweli tumekosa mambo ya kudiscuss mpaka tunashupalia kudiscuss Avatar ya mtu? Am worried!

Nadhani hamna aliyekulazimisha uje huku...for some of us ni kama commercial break.
 
Nadhani hamna aliyekulazimisha uje huku...for some of us ni kama commercial break.

I have full access of any thread in this jukwaa and freedom of saying what I feel too!
 
heshma yaho mzee weye weka yoyote ile tunakukubali
 
Tumia ya zamani mkuu kwa sababu zifuatazo...

jina lako ni Mzee Mwanakijiji

Mzee...avatar ya zamani kwa mtazamo wangu inakuonyesha kama mzee wa kweli, amechoka, ana ndevu za kizee na pia ana kibiongo cha uzee....huyu ni mzee halisi wa nchi ya dunia ya tatu katika kijiji kilichopo ndani kabisa katika nchi ya ki-afrika

Mwanakijiji.....katika avatar ya zamani unaonekana una vest kama sikosei...moja ya aina ya mavazi ya wazee wa vijijini.....

na mwisho ile ya zamani ni brand kama mchangiaji mmoja alivyosema
 
Kijijini bila jembe? Labda sio mtanzania. Nafikiri nimeshapiga na umeelewa ila sometimes will get out of Jembe.
 
Back
Top Bottom