Mshana JrAustrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.
He saw earth rotating clearly. Please watch the video interesting and electrifying BBC recording
View attachment 1676202
😅😅Wakati uku si tunalalamika uzi wa kula tunda kimasihara ufunguliwe....😁😁
😀😀😀😀😀Kama ni hivyo, basi umemaliza dukuduku langu. Maana nilihofia akaangukia kambi ya Boko haramu
Ungebadirisha bhasi na ndiomana kuna kitufe cha "Edit" humu. Usiongee as if you're smart enough to attack any body in here.kwani itachukua wewe ugali kiasi gani kujua nilikusudia dakika,na si sekunde!!!!maana hata mleta mada ametaja dakika!
sijui shida yako ni nini!!!au ndio ulianza kula ugali mapema kabla ya umri kufika!!
sikubadirisha makusudi,ili nisijeonekana nimekuogopa wewe,wakati ni kosa la kawaida tu.Ungebadirisha bhasi na ndiomana kuna kitufe cha "Edit" humu. Usiongee as if you're smart enough to attack any body in here.
Kama unakumbuka swali langu la kwanza kabisa ulipaswa kunielewesha tu na si kuniattack mara sijui ugali mara nini.sikubadirisha makusudi,ili nisijeonekana nimekuogopa wewe,wakati ni kosa la kawaida tu.
hakafu wewe ndio umekosoa kama una haki kufanya hivyo kwa kila mtu.
Asante kwa ufafanuzi murua na kwakweli sina la kupinga hapa kwakuwa habari yenyewe kwangu pia ilikuwa na ukakasi mwingiMshana Jr
Facts zilizoko kwenye habari hii zinapingana na ukweli. Haiwezekani kwa mtu huyu kushuka kwa kasi hiyo, kutoka umbali huo kutokana na sababu kadhaa kama zifuatavyo hapa chin:
MOSI: Umbali wa futi 128000 ni sawa na umbali wa km 60 kwa mantiki kuwa kila futi tatu ni sawa na mita 1.40
PILI: Hivyo basi, mtu akishuka umbali ndani ya dakika nne (4) na sekunde tano (5) au kwa ujumla ndani ya sekunde 245, maana yakke ni kwamba atakuwa anashuka na kasi ya:
km 0.2449 kwa sekunde moja au
km 14,70 kwa dakika moja (zidisha kwa 60 kasi iliyopo hapo juu) au
km 881.60 kwa saa moja (zidisha kwa 60 kasi iliyopo hapo juu) au
Kasi hii ya km 881.60 kwa saa moja ni kasi ya ndege tuseme Boeing zile kubwa ambazo huwa zinafanya masafa ya kuoka bara moja kwenda bara jingine, tuseme kama kutoka Buenos Aires (Australia) kwenda New York City (Marekani)
Ukizingatia uzito wa mtu alionao, na hewa atakayokuwa anakumbana nayo njiani ikimpinga ( air resistance) atakapokuwa anashuka chini uwezekano wa huyu mtu kushuka ndani ya muda huo haupo. Natural laws zinagoma ku-support kasi ya aina hiyo kwa mtu huyu. Na kama anaweza akafanikiwa, basi atafika ardhini akiwa siyo mtu tena na wala hawezi kutua pale alipoktakiwa kutua. mavazi yote yatachanika
Hata hivyo nakaribisha hoja kinzani lakini, kama zipo
Yes, it's been manipulated. Scientifically hiyo haiwezi kutokea kwa binadamu na vendor kukimbia kwa hiyo speed hiyo bila kuparalaizi na kunyofoka nyofoka (kuungua)Hii kitu ukitazama ni kama video manipulation
Space Shuttle zimefanya hizi reentey mission tokeapo. Columbia, Atlantis, etc. Tunafahamu temperature range kwenye kila layer ya atmosphere, we know how to cushion our shuttles etc.Si nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporuka
Huyo yupo ndani ya earth atmosphere n'a hajaona Dunia ikizunguka.. Hizo ni porojo tupuAsteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Vile vyombo vinavyotumwa nje ya atmosphere huwa vinarudije?Huyo yupo ndani ya earth atmosphere n'a hajaona Dunia ikizunguka.. Hizo ni porojo tupu
Aise sijui nianzie wapi kukuelezeaVile vyombo vinavyotumwa nje ya atmosphere huwa vinarudije?
Angeikosa dunia sijui angeenda kutua wapi? 😀😀😀Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.
He saw earth rotating clearly. Please watch the video interesting and electrifying BBC recording
View attachment 1676202
Wakati uku si tunalalamika uzi wa kula tunda kimasihara ufunguliwe....![]()

Nikusahihishe kidogo 128,000 feet ni sawa na 39.0144 Km na sio 60 KmMshana Jr
Facts zilizoko kwenye habari hii zinapingana na ukweli. Haiwezekani kwa mtu huyu kushuka kwa kasi hiyo, kutoka umbali huo kutokana na sababu kadhaa kama zifuatavyo hapa chin:
MOSI: Umbali wa futi 128000 ni sawa na umbali wa km 60 kwa mantiki kuwa kila futi tatu ni sawa na mita 1.40
PILI: Hivyo basi, mtu akishuka umbali ndani ya dakika nne (4) na sekunde tano (5) au kwa ujumla ndani ya sekunde 245, maana yakke ni kwamba atakuwa anashuka na kasi ya:
km 0.2449 kwa sekunde moja au
km 14,70 kwa dakika moja (zidisha kwa 60 kasi iliyopo hapo juu) au
km 881.60 kwa saa moja (zidisha kwa 60 kasi iliyopo hapo juu) au
Kasi hii ya km 881.60 kwa saa moja ni kasi ya ndege tuseme Boeing zile kubwa ambazo huwa zinafanya masafa ya kuoka bara moja kwenda bara jingine, tuseme kama kutoka Buenos Aires (Australia) kwenda New York City (Marekani)
Ukizingatia uzito wa mtu alionao, na hewa atakayokuwa anakumbana nayo njiani ikimpinga ( air resistance) atakapokuwa anashuka chini uwezekano wa huyu mtu kushuka ndani ya muda huo haupo. Natural laws zinagoma ku-support kasi ya aina hiyo kwa mtu huyu. Na kama anaweza akafanikiwa, basi atafika ardhini akiwa siyo mtu tena na wala hawezi kutua pale alipoktakiwa kutua. mavazi yote yatachanika
Hata hivyo nakaribisha hoja kinzani lakini, kama zipo
Mshana, sijaelewa hizo feet, km zina uhusiano gani.. how are they linked in this jumpNi sawa na km 276 kwa dk