Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship

Zipo bunduki zenye nguvu sana na zenye nguvu kiasi.

Speed ya risasi inategemea na bunduki iliyovyatua risasi hiyo... Kuna bunduki ambazo risasi zake zinaenda speed ya mita 120 kwa sekunde, kuna zenye nguvu ya kupeleka risasi kwa speed ya mita 1200/kilomita 1.2 kwa sekunde na kuna zenye nguvu zaidi zinazoweza kupeleka risasi umbali wa mita 1700/kilomita 1.7 kwa sekunde.

ipi inawaka moto kati ya hizo tatu???
 
Si nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporuka
space x ni kiboko ya kufa mtu huu ndo muelekeo sahivi ndugu.. Elon musk amekuja kubadili mambo na jamaa lilivyo na kiu halijaishia hapo zipo nyengine mpk zinajigeuza Bata kabisa huyu sijui anatutisha...😂

Sisi tuendelee kulana kimasihara jamaa sahivi ndo tajiri no 1..😅
 
Usiongee kitu ambacho huna utaalamu nacho. Risasi inayokimbia maelfu ya km?
umeshajiona mtaalamu kwa taarifa zilizo uchi google,umeshindwa hata kifikiri nini nilitaka kumaanisha???

kwa dakika moja risasi itakimbia umbali gani,ukilinganisha na dk moja ya huyo binaadam???

unatumia ugali mwingi sehemu isiyo sahihi,utazeeka mapema.
 
Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.

He saw earth rotating clearly. Please watch the video interesting and electrifying BBC recording

View attachment 1676202
Hii habari inashangaza 2012

FACT CHECK Fact Check: The video of astronaut jumping from space is fake By Satya Priya BNPublished on 31 Jan 2020 1:51 PM Hyderabad: A video claiming that an Austrian astronaut jumped from a Spacecraft from 1,28,000 ft height and travelled 1236 Kmph and he reached the Earth in 4 mins & 20 Seconds. This video is viral on Facebook and WhatsApp also. Fact Check: Upon checking the video carefully, we see the name 'Felix Baumgartner' on the helmet. When searched on Google for Felix Baumgartner, we found a Wikipedia page mentioning that Felix Baumgartner is an Austrian skydiver, daredevil, and BASE jumper. He is best known for jumping to Earth from a helium balloon from the stratosphere on October 14, 2012, and landing in New Mexico, USA as part of the Red Bull Stratos project.

Fact Check: The video of astronaut jumping from space is fake
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji818]
 
Hivi akiruka Hafu dunia ikazunguka Akajikuta katua Lile bara la Barafu tupu.
Nami ndo nilikuwa naiangalia hio video huku najiuliza swali kama hilo...au angechomoka akatoka nje ya dunia wakati anarudi na kujikuta kaenda uelekeo wa sayari ingine ingekuwaje?
Ila moyo huu hapana kwa kweli....inasisimua.
 
Hii habari inashangaza 2012

FACT CHECK Fact Check: The video of astronaut jumping from space is fake By Satya Priya BNPublished on 31 Jan 2020 1:51 PM Hyderabad: A video claiming that an Austrian astronaut jumped from a Spacecraft from 1,28,000 ft height and travelled 1236 Kmph and he reached the Earth in 4 mins & 20 Seconds. This video is viral on Facebook and WhatsApp also. Fact Check: Upon checking the video carefully, we see the name 'Felix Baumgartner' on the helmet. When searched on Google for Felix Baumgartner, we found a Wikipedia page mentioning that Felix Baumgartner is an Austrian skydiver, daredevil, and BASE jumper. He is best known for jumping to Earth from a helium balloon from the stratosphere on October 14, 2012, and landing in New Mexico, USA as part of the Red Bull Stratos project.

Fact Check: The video of astronaut jumping from space is fake
Mshatuchanganya sasa.
 
Nami ndo nilikuwa naiangalia hio video huku najiuliza swali kama hilo...au angechomoka akatoka nje ya dunia wakati anarudi na kujikuta kaenda uelekeo wa sayari ingine ingekuwaje?
Ila moyo huu hapana kwa kweli....inasisimua.
Anachomokaje wakati yupo kwenye milki ya Dunia
 
Back
Top Bottom