Mkuu yani 1236km/4 minutes hiyo ni speed kubwa sana kwanini wakati anaingia kwenye atmosphere hakuungua? Na mbona video naona anaenda speed ya kawaida tuAustrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.
He saw earth rotating clearly. Please watch the video interesting and electrifying BBC recording
View attachment 1676202
Wakati uku si tunalalamika uzi wa kula tunda kimasihara ufunguliwe....😁😁
Mkuu mshana Jr, hata Kama umevaa mavazi maalumu na upo kwenye Vendor kikubwa tunachoangalia ni mganamizo wa hewa kwenye space na friction inayosababisha na object (mavazi) na hewa. Ukiangalia mavazi yanayoonekana hapo ni kama truck suit yaani laini; hii ingepelekea joto kuongezeka na kusababisha body liquid kupata joto la juu kutokana msugiano wa hewa. Hatua hii ingemsababisha huyo jamaa aparalaizi ndani ya sec 8 nakupeleka kifo chake kabla hata haijaanza kumeguka kwe presha ya nje. Labda Kama Kuna namna au nadharia nyingine yakujiridhisha nayoSupersonic speed..alivaa mavazi maalum kwa ajili ya huo mruko..
Hahaha acha kupaniki mkuu alafu kingine don't take anything serious, utabaki unatumia tu moyoni kilasiku😆😆siku nyingine ujinga uache hukohuko ushetu kabla ujaja mjini
Nimekuuliza swali rahisi sana kama unayafahamu mambo ya speed and projectile motions.umeshajiona mtaalamu kwa taarifa zilizo uchi google,umeshindwa hata kifikiri nini nilitaka kumaanisha???
kwa dakika moja risasi itakimbia umbali gani,ukilinganisha na dk moja ya huyo binaadam???
unatumia ugali mwingi sehemu isiyo sahihi,utazeeka mapema.
kwani itachukua wewe ugali kiasi gani kujua nilikusudia dakika,na si sekunde!!!!maana hata mleta mada ametaja dakika!Nimekuuliza swali rahisi sana kama unayafahamu mambo ya speed and projectile motions.
Risasi iliyokimbia umbali mrefu mpaka sasa iliyorekodiwa ni 2600 feet per second. We hayo maelfu ya kms kwa sekunde umeyapata Google gani?
Unajifanya kuongea with full instincts Kama vile upo sahihi au wajua mambo uliyoyaongelea kumbe bure tu.
Hongera wewe unayekula chips muda wote, ugali ndio ulionikuza
Mkuu Bora ungeniita mbwa kuliko kuniita mataga...umenidhalilisha mno....niite mbwa pleaseJiwe anahangaika kuifanya Chatto kuwa kitovu cha utalii kanda ya Geita!!! Nyie Mataga, uwekezaji wa fedha za walipa kodi uangalie sehemu ambako ROI [ Return on Investment] ni kubwa na sio kwasababu ni sehemu anayotoka Rais!!!
Sio washington kwnye kitu Cha trumpKama ni hivyo, basi umemaliza dukuduku langu. Maana nilihofia akaangukia kambi ya Boko haramu
Ngoja niitafakiri hii comment yako kwasababu mazingira niliyokuwepo hayaniruhusu nikujibu sasa. Kama una point nitakubaliana nawe wala usijari mkuukwani itachukua wewe ugali kiasi gani kujua nilikusudia dakika,na si sekunde!!!!maana hata mleta mada ametaja dakika!
sijui shida yako ni nini!!!au ndio ulianza kula ugali mapema kabla ya umri kufika!!!
Mkuu Bora ungeniita mbwa kuliko kuniita mataga...umenidhalilisha mno....niite mbwa please
Wewe yani unaamini kamba za mabeberu. Badala ya kujikita kwenye ngono na msosi na kungojea kufa?Asteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Kuna video kibao Youtube zinaelezea vizuri sana ningekushauri ukazicheck, very educationalAsteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Kwa hii speed si alipaswa awake moto?
Kwani vimondo vinapowaka moto huwa kuna effort au force?Awake Moto kwa sababu ipi wakati hii ni free fall Mkuu?? Free fall means no effort or force on the object but Gravitational force
Asante...asanteNiwie radhi Mpemba basi nitakuita mbwa!!!