Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship

Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship

Nikusahihishe kidogo 128,000 feet ni sawa na 39.0144 Km na sio 60 Km
Naweza kuwa mimi niko sahihi, labda kama unaweza ukanisahihisha tena kwa mara ya pili, unakaribishwa. Iko hivi:

Futi 3 ni sawa na mita 1.4
Futi 128,000 ni sawa na mita 59733.33 ((128,000/3)*1.4)
Mita 59733.33 ni sawa na kilomita 59.7333, approximately 60 km
 
Nikusahihishe kidogo 128,000 feet ni sawa na 39.0144 Km na sio 60 Km
Vile vile ukitumia Newton's Laws of motion kwa kuchukulia kuwa huyu mtu alikuwa ana "fall under the influence of gravity", velocity halisi ya mtu huyu atakayofika nayo chini siyo ile niliyoisema hapo huu. Hapo juu yalikuwa makadirio tu ya average speed ukilinganisha na muda unaosemekana kwamba huyu mtu aliutumia kushuka chini.
Hivyo basi, velocity halisi atakayofika nayo chini inakuwa calculated from the third equation of motion kwamba:
V^2=2gh
V=sqrt(2gh)
V=SQRT[2*(10m/s/s)*59733.333m]=1194667m/s

Hivyo basi
V=1195m/s
V=1.2km/s
Finally;
V=4300 kilometers per hour (multiply the above value of 1.2km/s by 3600s)
 
Naweza kuwa mimi niko sahihi, labda kama unaweza ukanisahihisha tena kwa mara ya pili, unakaribishwa. Iko hivi:

Futi 3 ni sawa na mita 1.4
Futi 128,000 ni sawa na mita 59733.33 ((128,000/3)*1.4)
Mita 59733.33 ni sawa na kilomita 59.7333, approximately 60 km
Ok kama google nayo inadangaya basi ww utakuwa sawa
20210115_103650.jpg
View attachment 1677904
 
Si nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporuka
Mfano mdogo ni drone, km umeirusha halaf ikaisha charge ikiwa angani, automaticaly inarudi sehem iliyoanza kuruka, so

Kuna vitu vingi yawezekana alifungiwa, sensor, gps nk... asingeweza kuachiwa kienyeji hivyo kwa kuwa wanaofanya hiyo tafiti lazima waangalie mazingira yote.
 
Vile vile ukitumia Newton's Laws of motion kwa kuchukulia kuwa huyu mtu alikuwa ana "fall under the influence of gravity", velocity halisi ya mtu huyu atakayofika nayo chini siyo ile niliyoisema hapo huu. Hapo juu yalikuwa makadirio tu ya average speed ukilinganisha na muda unaosemekana kwamba huyu mtu aliutumia kushuka chini.
Hivyo basi, velocity halisi atakayofika nayo chini inakuwa calculated from the third equation of motion kwamba:
V^2=2gh
V=sqrt(2gh)
V=SQRT[2*(10m/s/s)*59733.333m]=1194667m/s

Hivyo basi
V=1195m/s
V=1.2km/s
Finally;
V=4300 kilometers per hour (multiply the above value of 1.2km/s by 3600s)
Ndio maana nilifaulu kufeli hili somo
 
Asteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?

Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?

Wataalamu tafadhali nisaidieni.
dogo hujasikia elon musk ameshasolve hilo...zamani walishindwa tengeneza vyombo vyenye uwezo wa kurudi na kutua kutumika tena.,..ni kama unachukua gari hadi kimara ukifika unaliacha hapo..so sikuhizi vinarudi
 
Mshana Jr
Facts zilizoko kwenye habari hii zinapingana na ukweli. Haiwezekani kwa mtu huyu kushuka kwa kasi hiyo, kutoka umbali huo kutokana na sababu kadhaa kama zifuatavyo hapa chin:

MOSI: Umbali wa futi 128000 ni sawa na umbali wa km 60 kwa mantiki kuwa kila futi tatu ni sawa na mita 1.40

PILI: Hivyo basi, mtu akishuka umbali ndani ya dakika nne (4) na sekunde tano (5) au kwa ujumla ndani ya sekunde 245, maana yakke ni kwamba atakuwa anashuka na kasi ya:

km 0.2449 kwa sekunde moja au
km 14,70
kwa dakika moja (zidisha kwa 60 kas

Kasi hii ya km 881.60 kwa saa moja ni kasi ya ndege tuseme Boeing zile kubwa ambazo huwa zinafanya masafa ya kuoka bara moja kwenda bara jingine, tuseme kama kutoka Buenos Aires (Australia) kwenda New York City (Marekani)
Ukizingatia uzito wa mtu alionao, na hewa atakayokuwa anakumbana nayo njiani ikimpinga ( air resistance) atakapokuwa anashuka chini uwezekano wa huyu mtu kushuka ndani ya muda huo haupo. Natural laws zinagoma ku-support kasi ya aina hiyo kwa mtu huyu. Na kama anaweza akafanikiwa, basi atafika ardhini akiwa siyo mtu tena na wala hawezi kutua pale alipoktakiwa kutua. mavazi yote yatachanika

Hata hivyo nakaribisha hoja kinzani lakini, kama zipo
Hapo kwenye Bara... pana uwalakini.
 
Ndio maana nilifaulu kufeli hili somo
Ukiona kitu umeshindwa kukielewa, ujue umekosa logic yake, yaani logic yake huipati. Hakuna kitu unachoweza ukashindwa kukielewa, ukipata logic yake. Ndiyo maana kuna miujiza. Muujiza ni kitu ambacho kinapingana na logic, yaani kikitokea unakosa kupata logic yake. Kwa mfano Yesu laifanya muujiza wa kutembea juu ya maji. Tunauita muujiza kwa sababu logic haikubaliana na swala la kiumbe kutembea juu ya maji. Kwa hiyo next time kikitokea kitu ukoana hukielewi wakati una uhakika kabisa kuwa kitu hicho siyo muujiza, mtafute mtu anayekijua kwa ufasaha halafu akupe logic ya kitu hicho kwanza, hilo tu basi halafu utakuwa umemaliza kila kitu
 
Ndio maana nikauliza swali ni namna gani vyombo hivyo vinarejea dunia bila kuungua.
Juzi kati kuna chombo cha China kilirudi na mchanga kutoka mwezini
Vinawekewa heat shield yenye madini yakuhimili joto kali bila ya kuyeyuka, Shield inafikia hatua ya kuwa red hot lakini haiyeyuki - wakati mwingine badala ya kutumia special metal alloys wana sayansi wanatumia heat shields maalumu zilizo tengenezwa kwa madini ya ceramics.

Hivyo chombo kinapo fikia phase ya re entry kuingia kwenye layer yenye hewa Duniani panatokea friction kubwa kati ya chombo na hewa mpaka ina generate joto la kufikia hatua ya kuyeyusha mpaka chuma cha pua/steel kama kipo exposed bila ya kuwekewa heat shield kita uugua kutoka na kufikia temperature ya hewa kugehuka kuwa plasma - ndio maana waundaji wa vyombo hivi uhakikisha sehemu ambayo ita face atmosphere wakati wa re entry vyuma vyote vinawekewa kinga ya heat shield,bila ya kufanya hivyo chombo kita unguwa kama kimondo na kuua wana anga wote waliomo ndani ya chombo au kupoteza chombo chenyewe kama hakina wana anga.

Chombo cha Wachina kiliweza kurudi aridhini kutoka mwezini kikiwa na shehena ya Mchanga wa mwezini, hakikuungua kutokana na mbinu za kinga nilizo elezea hapo juu - yaani kiliwekewa heat shields.
 
Vile vile ukitumia Newton's Laws of motion kwa kuchukulia kuwa huyu mtu alikuwa ana "fall under the influence of gravity", velocity halisi ya mtu huyu atakayofika nayo chini siyo ile niliyoisema hapo huu. Hapo juu yalikuwa makadirio tu ya average speed ukilinganisha na muda unaosemekana kwamba huyu mtu aliutumia kushuka chini.
Hivyo basi, velocity halisi atakayofika nayo chini inakuwa calculated from the third equation of motion kwamba:
V^2=2gh
V=sqrt(2gh)
V=SQRT[2*(10m/s/s)*59733.333m]=1194667m/s

Hivyo basi
V=1195m/s
V=1.2km/s
Finally;
V=4300 kilometers per hour (multiply the above value of 1.2km/s by 3600s)

Mmmh!

Hivi kitu kinachodondoka toka umbali mrefu hivyo, kitaanguka kwa kufuata kanuni za "linear motion"...

Kwa kadiri ninavyoelewa kitaanguka with a certain trajectory, hivyo hata calculations zake zitakuwa ni za kanuni za trajectory motion...

Pamoja na kwamba kani itayohusika kukishusha chini ni kani ya gravity
 
Assuming linear motion of the falling body, that is; the body falls down with a trajectory that is a straight line. Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom