Hawa wazungu wanatuchezea akili naona.Asteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Hahaha hii kweli man down! Nunua hata bando la buku mzee😂😂Poor my freebasics 🙂🙂
Man down!!!
A polar bear😂😂Anageuka dubu![]()
Ndio maana nikauliza swali ni namna gani vyombo hivyo vinarejea dunia bila kuungua.Si nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporuka
Mhh hii video ni fikirishi sana aiseeAustrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.
He saw earth rotating clearly. Please watch the video interesting and electrifying BBC recordingView attachment 1676202
Asteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Acha ujinga wewe hamna risasi inayoweza kwenye mamia ya kilomita sembuse maelfu ya kilomita unayosema!risasi yenyewe inakimbia kwa maelfu ya km kwa sekunde na haiwaki moto.
sababu ni moja,material ya kimondo nayo ni sababu.
Acha ujinga wewe hamna risasi inayoweza kwenye mamia ya kilomita sembuse maelfu unayosema!
Ndio maana nikauliza swali ni namna gani vyombo hivyo vinarejea dunia bila kuungua.
Juzi kati kuna chombo cha China kilirudi na mchanga kutoka mwezini
Lisk...lisker..lisket..Ha ha! Ya zamani kidogo hofu kwa wanaoiona leo..![]()
By the way kuungua kwa jamaa si rahisi maana kavaa mavazi maalumu!.. pia kufikia speed kubwa sana inategemea na mass yake Kama angekuwa na mass kubwa sana let's say hata Tani moja Basi hata lisk yake ya kuungua ingekuwa kubwa! But mavazi nayo yanamsaidia hawawezi fanya kitu ku lisk maisha ya mtu kwa maksudi huku wakijua Kuna lisk kubwa ya yeye kuungua then wafanye hivyo!.
Jamaa yaonyesha Kuna muda alipoteza fahamu hivyo hata hakuwa stable ndio maana alikuwa akizunguka tu! Hii hutokea hata kwa waruka na maparachuti mtu huruka fahamu mbaya isiwe umekaribia kutua..
Ila Mara nyingi huwa inakuwa haichukui muda mwingi.. pia kumbukeni jamaa alikaa pozi la kujitawanya hivyo somehow alijipunguzisha speed kutokana na air resistance.




Zipo bunduki zenye nguvu sana na zenye nguvu kiasi.sawa.
inakwenda km ngapi kwa sekunde!!!!
YeahSi nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporuka
Mbute wewe..🤣Lisk...lisker..lisket..![]()