Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
ningemuomba Jk kusimamisha mahusiano ya kibalozi na nchi zote mavamizi
Walioandaa resolution ni Lebanon na Arab League.Mkuu.
Nani aliandaa hiyo draft ya resolution?
Kama wao wanatekeleza kazi waliyopewa tu!!
Mwanzoni mwa miaka ya 90 UN ilipeleka majeshi Somalia, wanajeshi 50 wa India au Pakistan wakaishia kuchinjwa kama kuku, sasa hivi kuna majeshi ya kulinda amani ya AU kutoka Uganda na kila siku yanashambuliwa laini hatusikii mtu analalamika.Somalia ni mzozo wa miaka zaidi ya 20 sasa, West na US mbona hawaingilii kati kuzuia mauaji ya raia wasio na hatia wala silaha?
Majeshi ya kimarekani na NATO yamebaki kwenye advisory na training capacity uko Iraq sio tena kwenye mission.NATO na US wanaua raia wasio na hatia wala silaha huko Iraq na Afghanistan. Sasa niambie mkuu kule wametumwa na nani?
Kwa sababu rebels wakishirikiana na Arab League wameomba msaada wa International community na jumuiya ya kimataifa imeridhia ndio maana tuko kwenye hii hali.Why Libya?
Libya tayari alikuwa anasupply mafuta yake kwa wingi nchi za magharibi na kulikuwa hakuna tatizo lolote isitoshe makampuni mengi tu ya Uingereza yalikuwa yamesaini mikataba na NOC.OIL? Human Rights?
Libya says may give oil deals to friendly nations | Reuters
Fupa la Ivory Coast limemshinda ndio ataweza ili la kusitisha mahusiano na wafadhili wake?ningemuomba Jk kusimamisha mahusiano ya kibalozi na nchi zote mavamizi
Hivi nyie mnaolalamika Gaddafi anaonewa mlikuwa wapi wakati Serikali ya Tanzania inatuma majeshi kwenda kumkimbiza Mohammed Bacar madarakani kwa kisingizio cha kutete demokrasia?
uonevu tu,jana nilisikiliza taarifa RM Radio Gadafi kamuuliza obama yangekuwa kwako ungewaangalia tu waac wakifanya vurugu au?
Wachina na Warusi ni wanafiki wakubwa, wangekuwa na nia ya kumsaidia Gaddafi wangepiga kura ya veto. Wachina wanachojali wao ni mafuta tu wanasubiria Libya watwangwe waanze kuwauzia mafuta, warusi wao wanawaza kuuza silaha tuu. Huyo Chavez kelele miingi huku anaendelea kuuza mafuta yake US (CITGO).Kama anaonewa waambie wanaolalama kuwa Gadhafi anaonewa na akashtaki kwa Russia, China, Iran na Chavez labda watamsaidia manake wao ndio wamempa kisogo.
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.uonevu tu,jana nilisikiliza taarifa RM Radio Gadafi kamuuliza obama yangekuwa kwako ungewaangalia tu waac wakifanya vurugu au?
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.
Wachina na Warusi ni wanafiki wakubwa, wangekuwa na nia ya kumsaidia Gaddafi wangepiga kura ya veto. Wachina wanachojali wao ni mafuta tu wanasubiria Libya watwangwe waanze kuwauzia mafuta, warusi wao wanawaza kuuza silaha tuu. Huyo Chavez kelele miingi uku anaendelea kuuza mafuta yake US (CITGO).
Ulikuwa wapi wakati tunawalalamikia akina Membe na Kikwete kuwaachia wacomoro nchi yao wenyewe?I say NO to France,Uk & Usa Obama keep your America and leave Gadafi alone &:/=)](+*@?¿ I hate you
AU wamenikumbusha kijijini kwetu vile vimbwa vinavyobweka huku vimeficha mkia katikati ya miguu yao, walikua wapi sikuzote hizo hadi waibuke leo?
Ina maana alichokua akifanya Gaddafi kwa watu wake ni sahihi? au ni namna ya hawa AU kutengeneza mazingira ya kuendelea kuumiza waafrika wengine baadae pia kwa kivuli kuwa "ni waasi"?
AU mmejidhalilisha sana, hata Gbagbo mmemshindwa???
Hahha kuna militias, Tea Party na gun totting, bible carrying lunatics wanaandamana kila leo US na escort ya police wanapewa.
It is Necessary, Legal and Right to protect the civilians in Libya, we many commend this initial strikes over Col Gaddafi Forces! It is Necessary because they want to protect the civilians, it is Legal because blessed by UN resolution, and lastly, People of Libya deserve their Rights!
Here are allies in operations; France, UK, US, Qatar, Norway, Belgium, Denmark (subject to parliamentary vote) and Poland (logistical support).
Any African Country?!