Nimejitahidi kufwatilia mgogoro wa libya nimejifunza mambo mengi sana moja ni kwamba capilalists has no parmanent frends /enemies but permanent interests kwamdamlemfu nimeona wa tanzania wengi hasa ndugu zangu wa islam wa kichukizwa moja kwa moja na kile kinacho fanywa na marekani pamoja na mataifa ya ulaya dhidi ya libya wakihisi wanania ya kuukandamiza uislam wa lidya pamoja na kuchukua mafuta, chakushangaza ni kwamba gadaffi mwanzoni alivishutumu fikosi vya alkaida kuwa ndio vina fanya mipango na vurugu za kumuondoa yeye madarakani lakini leo malekani anaungwa mkono na umoja wa nchi za kiarabu kwa mashambulizi wanayo yafanya dhidi ya nchi hiyo ambako gadaffi aliamini kuwa ndio litakuwa kimbilio lake akivamiwa na malekani .Na hao wa alabu ndio wa islam wa ukweli kuliko sisi huku tulio pokea tu dini toka kwao ,lakini tumekua tukiumia zaidi kuliko hao waarabu wenzie na gadaffi hasa napo shambuliwa ,labda mtasema mnaumia kwasababu gadaffi ni muafrika lakini mnasahau kuwa gadaffi alisha wai kutamka kuwa endapo Afrika haita ungana ataweka nguvu zake zote kwenya umoja wa kiarabu ,this means Afrika yupo tu ila yeye ni muarabu ,FUNDISHO NI KWAMBA WAISLAMU WA TANZANIA TUMEKUWA TUKIKI UNGA MKONO CCM KWASABABU JK NI WADINI YETU HUKU TUKISAHAU KUWA CCM SIO CHAMA CHAKIDINI HIVYO ZILE KURA TULIZO MPA NDIZO ZILIZO ONGEZA RUDHUKU NDANI YA CHAMA HICHO NA NDIZO ZITAKAZO TU MIKA KUMNADI MKRISTO MWAKA 2015.
Thubutuuu!!!Hiyo statement ya Museveni naivulia kofia na hasa alivyozipanga hoja zake kwa Kiingereza fasaha kabisa. Kataja negatives na positives za Gaddafi. Lakini namsifu Museveni alivyokuwa na ujasiri na independent mind kuitoa Hivi Mkwere wetu anaweza kutoa kitu kama hiki.
Subutu! Anaogopa asije na bakuli tupu akienda kuomba kutoka nchi za Magharibi. Halafu hata hiyo lugha .... sijui....
nikweli labda nime chichanganya kwa kutaka kuunganisha vitu viwili kwa wakati mmja (libya na tanzania).lakini nilivyo sema ccm sio chama cha kidini namanisha kwamba tanzania hakuna chama cha kidini kinacho weza kusajiriwa hivyo hakuna chama cha kidini.Unashauri waislamu waunge mkono chama gani kimweke muislamu 2015? nafurahi umekubali kuna chama cha kidini,ningependa ukitaje ........kusema ukweli kuna sehemu umejichanganya hueleweki......:washing:
Mbona mnakuwa hamfatilii news?
Mbona meseveni kawachana live!
Au yy sio rais!
Una maana gani wanaandamana huku wana kila kitu? Japokuwa wabongo maskini tuna kila kitu. Uzembe wetu ndio unatufanya kuwa maskini. Walibya hawana kila kila kitu. Kwa mfano hawana freedom unayoitumia hapa JF kuandika unachoandika. Thats want they want. Kwako itaonekana kitu kidogo sana kulinganisha na utajiri. Lakini utakuja tambua when you loose your freedom and liberty. The way unavyoshangaa kwa nini wanaandamana huku wana kila kitu, ndivyo pia watu wanavyotushanga kwa nini tuko maskini wakati tuna kila kitu.