Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Binafsi siwashangai baadh ya wabunge wa Upinzani(hususan Chadema). Wamekuwa wakitafuta "cheap popularity" bila kujua huku mtaani wanatukera na tunawaona wapumbafu sana.

Mfano mdogo tu; Kwenye kikao kichopota cha Bunge, T.Lissu alisimamisha mjadala wa maana mle bungeni nakutoa taarifa yakiudaku nayakipuuzi saa kwamba, "TBC1 IMEZIMA MATANGAZO YOTE ILI WATANZANIA WASISIKIE MJADALA HUU".

Yaani Lissu aliniharibia tension vibaya sana. Nilikuwa Morogoro mjini siku hiyo nikifuatilia hoja ile live kwenye bar moja ivi kupitia TBC1. Yaani tuliguna wote kwa hasira.

Namshukuru Nkamia alikuja jion yake kumpa vidonge vyake.

Ni tatizo mno hawa watu.
Duh hii ID ya Tuntemekesanga imefufuka, si ndio hii ilikuwa inatumiwa na vijana wa Zito kuvuruga CDM, akina J.Shonza, Mwambamba nk
 
Mambo ya facebook utapelekaje bungeni? Angalia sasa mbunge mzima anashushuliwa ktk vyombo vya habari na bongo movies!! Shame...

Nasikia Chadema wakichukua nchi Lema atakuwa Waziri Elimu..teh teh
 
Mbona alitajwa wakati anahojiwa Leo tena

Siku nyingine ukile mada hapa usishabikie upande wwt, wacha watu waijadili kwa uhuru...lasivyo kama una ushabiki binafsi usiilete???

Sawa dogo?
 
Aunt Ezekiel anatakiwa kumpuuza Lema maana Lema ni mropokaji ana julikana kabisa! Kwanza Aunt Ezekiel ana akili sana kumzidi Lema! Ni bora wana Arusha wangempa ubunge Aunt Ezekiel kuliko Lema!

Lema ni mropokaji na hakuwai kuongea point muhimu bungeni!

ndio nini sasa ??
 
Nikisoma post za wengi humu nabakia kushangaa. Je si kweli Waziri alienda na huyo kimada USA kwa gharama zetu? Hiyi picha hapo juu ilikuwa Ubungo ?

Sasa na huyo hawara anabwabwaja nini. Au tulete proof wakiwa kitandani. Acheni hizo ... Spade iitwe spade sio kijiko kikubwa
 
hahaaa, we ngoja waendelee kuropoka tujue mengi. Bongo muvi atangaze vivutio vya utali wapi na wapi? Au ndo utalii wa kutudhalilisha na kikyup alikovaa?
 
Nikisoma post za wengi humu nabakia kushangaa. Je si kweli Waziri alienda na huyo kimada USA kwa gharama zetu? Hiyi picha hapo juu ilikuwa Ubungo ?

Sasa na huyo hawara anabwabwaja nini. Au tulete proof wakiwa kitandani. Acheni hizo ... Spade iitwe spade sio kijiko kikubwa

Mkuu,

Kuna watu humu wana akili ujazo wa KISODA!Yaan MTU anasafiri kwenda US kwa gharama za kodi za wananchi halafu watu wanaleta ushabiki wa kipuuzi hapa!

Au mnataka kusema Aunt Ezekiel ni BODYGUARD wake?Au nani kwenye wizara ya maliasili na utalii?
Au Aunt Ezekiel ndio utambulisho wa utalii wa nchi ya Tanzania?

Ndio maana Muhongo aliwahi kusema watanzania no MBUMBUMBU!

Pengine labla alikuwa sahihi!!
 
labda kuna watu walitaka aingie na twiga ukumbini hapo...
 
Lema wakati anaropoka bungeni alijua ndoa inavunjika, wako wako happy to mpaka leo.
 
You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.

You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!
Why don't you write in Swahili or your venacular?
 
Nasikia Chadema wakichukua nchi Lema atakuwa Waziri Elimu..teh teh

sasa unashangaa nini ,? hivi lema na Kilaza mulugo nani anaafadhari .? Waziri mzima anaulizwa kwa nn mwl anakaa daraja B la mshahara zaidi ya miaka mitano yy anajibu atajitahidi kuhakikisha anaingia daraja A
 
Back
Top Bottom