Mbarikiwa Mollel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2015
- 241
- 49
Hivi wewe unadhani kila mtu anaangalia hizo senema zenu za kuigizia kwenyenyumba za watu huku mkipewa masharti usiingie na viatu kiasi kuwa jambazi eti anavua viatu? Huyo Ezekieli ni maarufu kwenu nyie? Na wadau washaelewa wewe ni mtu wa category gani.
Zinatizamwa mpaka nje ya tz wewe, we utaangalia tv saa ngapi wakati huna? na ukiangalia mpaka bar ya jirani na unapokaa wewe, mbona bosi wake alienda dubai na posho alizopewa kwenda marekani na kimada..!?