Lema wakati anaropoka bungeni alijua ndoa inavunjika, wako wako happy to mpaka leo.
Mkuu hivi Lema alisha wahi kutoa point yoyote bungeni?
Busturd issues?? ndo kiingereza gani hiki? Pili kama Lissu ana exaggerate mambo ni kwamba uwezo wako wa kumuelewa ni mdogo. Kawaulize wanaomuelewa kama spika Makinda, AG and orhers.You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.
You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!
kuna tatizo kwa bwana Nyalandu akitumia sehemu ya mshahara wake kuistarehesha dudu yake!?
Tuache siasa za maji taka kuna uchafu kibao serikalini huko sio kuganda kwenye ishu binafsi za mapenzi
Katika kipindi cha amplifier cha Millard Ayo Msanii wa filamu wa bongo movie amempiga dongo mbunge wa Arusha Godbless Lema kwa kile alichoda kuwa waziri wa maliasili na utalii mh. Lazaro Nyarando alikuwa anatanua Marekani na na aunty Ezekiel pesa za umma.
''Mtu mzima, mbunge mzima anakosa point na kudandia mambo ya facebook na instagram na kuyapeleka bungeni kwani hana mambo muhimu ya kujadiri au hana point? Akiambiwa alete ushahidi ataanza kutoa macho, mimi ninao ushahidi walionialika na nilikofikia namshangaa sana huyo mtu, aliongea Aunty Ezekiel.
Ni kweli kwa heshima ya bunge tukufu ni aibu sana mbunge mzima kusimama na kutoa hoja dhaifu kama hiyo ili mradi aonekane anaongea bungeni.
Hivi huwa mnaamini kabisa hizi story za kwenye vijiwe enheeHuyo anti Ezekiel amesababisha ndoa ya Nyalandu kupumulia mashine....akae kimya kabisa na kufunga mdomo wake
Why don't you write in Swahili or your venacular?
Kwani kama kuliwa waliliwa wote? Si yeye pekee huyo Aunt? Kwanza hilo hajalianzisha Lema, bali Lema alitia msisitizo baada ya Nyalandu kushindwa kutoa maelezo ya nini alifanya kule US. Kama Waziri lazima ueleze kila hatua ya ulichofanya kwa ziara uliyowezeswa na fedha za walipa kodi. Huyo mwanamke asitake kutokea jina la Lema kama kawaida yao ya kutumia majina ya watu kujibebea ujiko.
Wacha upuuzi wewe Aunt Ezekieli ni maarufu kuliko huyo lema wewe, labda lema ndio anatafuta kiki kwa Aunt au anataka kucheza movie nini...!!!
Wacha upuuzi wewe Aunt Ezekieli ni maarufu kuliko huyo lema wewe, labda lema ndio anatafuta kiki kwa Aunt au anataka kucheza movie nini...!!!
Wacha upuuzi wewe Aunt Ezekieli ni maarufu kuliko huyo lema wewe, labda lema ndio anatafuta kiki kwa Aunt au anataka kucheza movie nini...!!!
Hivi wewe unadhani kila mtu anaangalia hizo senema zenu za kuigizia kwenyenyumba za watu huku mkipewa masharti usiingie na viatu kiasi kuwa jambazi eti anavua viatu? Huyo Ezekieli ni maarufu kwenu nyie? Na wadau washaelewa wewe ni mtu wa category gani.
Mkuu Lema aliongea kuwa Nyarandu alikuwa anatanua na kupiga picha na Aunty Ezekiel, mambo ya facebook na Instagram atapelekaje bungeni??
Mmeanza kunitia shaka,kama na nyie mnaweza kuhoji Elimu ya Lema,wakati kina Lusinde na Majimafupi waliaminika na kupewa majimbo ambayo wanayaongoza hadi octoba.Lema yupo Bungeni kutokana. na kura za wanachi,hizo kejeli zenu zinaelekea direct kwa wananchi walio mpa kura.CCM inakosa majimbo kutokana na makosa yetu wenyewe sisi wana sisiem.52 yrs bado budget yetu inatemea wahisani kwa karibu 50%.Mnataka nchi!mtafanya kipi kipya?Hajawahi mkuu, wala hatawahi, elimu yake haitoshi kufanya hivyo!
Lema hanishawishi mimi always hana point.
Wacha upuuzi wewe Aunt Ezekieli ni maarufu kuliko huyo lema wewe, labda lema ndio anatafuta kiki kwa Aunt au anataka kucheza movie nini...!!!