Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Binafsi siwashangai baadh ya wabunge wa Upinzani(hususan Chadema). Wamekuwa wakitafuta "cheap popularity" bila kujua huku mtaani wanatukera na tunawaona wapumbafu sana.

Mfano mdogo tu; Kwenye kikao kichopota cha Bunge, T.Lissu alisimamisha mjadala wa maana mle bungeni nakutoa taarifa yakiudaku nayakipuuzi saa kwamba, "TBC1 IMEZIMA MATANGAZO YOTE ILI WATANZANIA WASISIKIE MJADALA HUU".

Yaani Lissu aliniharibia tension vibaya sana. Nilikuwa Morogoro mjini siku hiyo nikifuatilia hoja ile live kwenye bar moja ivi kupitia TBC1. Yaani tuliguna wote kwa hasira.

Namshukuru Nkamia alikuja jion yake kumpa vidonge vyake.

Ni tatizo mno hawa watu.

if you talk about cheap popularity, the you must be talking of CCM MPs, hawana chochote zaidi ya sifa dhaifu

unless hujui maana ya neno cheap popularity, Lema is way beyond popularity unayojaribu kuizungumzia
 
Mkuu gana point tule kuna siku bungeni aliropoka eti wawekezaji wa vitalu vya gas hawaji na pesa bali wanakuja na labtop na wanakaa hotelini na kuomba kuwekeza kisha pesa wanakopa ktk mabank yetu nilimdhalau sana
 
if you talk about cheap popularity, the you must be talking of CCM MPs, hawana chochote zaidi ya sifa dhaifu

unless hujui maana ya neno cheap popularity, Lema is way beyond popularity unayojaribu kuizungumzia

You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.

You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!
 
....wastage of gamba thinking !!!
 
kuna tatizo kwa bwana Nyalandu akitumia sehemu ya mshahara wake kuistarehesha dudu yake!?
Tuache siasa za maji taka kuna uchafu kibao serikalini huko sio kuganda kwenye ishu binafsi za mapenzi
 
Ndo maana wachangiaji wa JF Great Thinkers wameanza kupungua sana,yani hii habari ya UDAKU nayo ina hadhi ya kukaa hapa,sasa huyo Aunt Ezekiel mvaa nusu uchi,mwigizaji wa Bongo movie nae ana upeo wakujibizana na mtu mwenye akili timamu,kwanza alienda kutangaza utalii upi,ukimwuliza hata vivutio vya utalii Tanzania anavijua..? Shame on her...tena azibe kimdomo chake kabisa huyo binti.

Wewe mleta mada nawe ni kada wa chama fulani kutokana na uchangiaji wako unajulikana huko,ndo maana umeibua ka hoja dhaifu kabisa na kuona ndo kanafaa kuleta hapa.Sasa inamana siku hiyo katika yote aliyoongea Mh Lema hilo ndo uliona la msingi na kumpelekea huyo Aunt wenu...???
 
Kwa mtu anayezurura na Nyalandu kutwa kucha na kwa kisingizo cha "kutangaza utalii" hakuna la ajabu hapa. Hajitambui huyu anatumiwa tu kuropoka pumba.
 
Mkuu Lema aliongea kuwa Nyarandu alikuwa anatanua na kupiga picha na Aunty Ezekiel, mambo ya facebook na Instagram atapelekaje bungeni??

Kwani we hukuziona Picha. Au aunty Ezekiel amekuwa twiga. Anaiwakilisha nchi
 
Kwani we hujui kuwa ruge ana matatizo na chadema alimpiga vita sugu ili acpite kwenye ubunge, ni lazima atakuwa alimtuma
 
...

....Ndo maana wakora wametupiga bani !!!

aunty_ezekiel789.jpg

Pesa Za Walalahoi Zote Zinahamia Kwa Huyo Wa Kulia. Mwangalie Ndoto Za Abunuasi LN Alivyotulia Tuli Na Kujifanya Bonge La Mtakatifu.
 
Anaongea nini huyo.....sasa alienda kufanya nini wanaachwa watu wa maana wanapelekwa watu wenye makashfa ya kutokuwa na maadili kibao
 
Back
Top Bottom