Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

Huyu aunt Ezekiel, nani anaemfahamu USA, to the extent ya kuvutia utalii?! Ndo maana inazua hofu ya kuwako agenda fiche nyuma ya pazia!
 
Hivi wewe unadhani kila mtu anaangalia hizo senema zenu za kuigizia kwenyenyumba za watu huku mkipewa masharti usiingie na viatu kiasi kuwa jambazi eti anavua viatu? Huyo Ezekieli ni maarufu kwenu nyie? Na wadau washaelewa wewe ni mtu wa category gani.

Eti huyu ndo mtangaza utalii..kizungu shida...alienda tangaza utalii wa papuchi yake hamna kitu....
 

Attachments

  • 1423982274039.jpg
    1423982274039.jpg
    44.1 KB · Views: 129
Hivi mlitegemea Huyo ezekiel amsfie Lema?!,Lema kawaumbua then wat,hata hivi huyo ezekiel kwann hakjv mda wote ameona nn sasa?,hata km hatuskii hata picha hatuoni?,anasema mambo ya fb yrnyewe yametoka mbingni?,alijua uchaf wa fb hauwez kwenda bungen sio!???
 
Tupien na aliko lala hyo shangaz na gauni lake reeeeeeeeeephu!!!
 
You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.

You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!

Do not cheat us,tunaona na kuskia kwa macho na maskio yetu wenyewe,Hivi utamshindanishs lema na Komba,nyangwine? Nk ambao hata sielewi waliingia kwa sifa zip mbungen,Lema mtu wa kuanika hata ya chumban msioyategemea.

Kama mbabisha si tuone huyo Nyarandu akifungua jarada mahakani kuwa kakashifiwa,but kakaa kimyaaaaa he knows where he did it wrong!!!!.

Lema Alisema hadharani kama alidanganya umma nendeni mahakamaniii
 
Mmeanza kunitia shaka,kama na nyie mnaweza kuhoji Elimu ya Lema,wakati kina Lusinde na Majimafupi waliaminika na kupewa majimbo ambayo wanayaongoza hadi octoba.Lema yupo Bungeni kutokana. na kura za wanachi,hizo kejeli zenu zinaelekea direct kwa wananchi walio mpa kura.CCM inakosa majimbo kutokana na makosa yetu wenyewe sisi wana sisiem.52 yrs bado budget yetu inatemea wahisani kwa karibu 50%.Mnataka nchi!mtafanya kipi kipya?

Mkuu nchi tayari iko kwenye mikono salama ya CCM.
 
Walikuwa na interview Clouds fm leo wao wako happy tu kama kusikia walisha sikia mengi kwa hiyo haiwasumbui tena.

Katika mahojiano hayo nilimsikia Nyalandu akisema kuwa walikuwa kule na huyo Shangazi a. k. a aunty Ezekiel lakn hadi sasa hana namba ya simu ya huyo msanii
 
Mkuu nchi tayari iko kwenye mikono salama ya CCM.
MUSSAAllan Nchi ipo hari jojo,huioni?Au unaneemeka na hali hii?Tafakari,chukua tahadhari.
Fungua ID nyingine uitumie sambamba na hiyo yako,Ili pale unapoona mambo haya hayaendi uwe huru kwa ile ID nyingine kurekebisha.Niushauri tu
 
Last edited by a moderator:
MUSSAAllan Nchi ipo hari jojo,huioni?Au unaneemeka na hali hii?Tafakari,chukua tahadhari.
Fungua ID nyingine uitumie sambamba na hiyo yako,Ili pale unapoona mambo haya hayaendi uwe huru kwa ile ID nyingine kurekebisha.Niushauri tu

Wewe na wahuni wenzio ndio mnaona hivyo. Ila sisi watanzania wazalendo bado tuko tayari kuitumikia nchi yetu chini ya uongozi mzuri wa CCM.
 
Last edited by a moderator:
Chakula cha Nyalandu huyo sasa unafikiri atawasema wakina Lema vizuri... Never
 
Wewe na wahuni wenzio ndio mnaona hivyo. Ila sisi watanzania wazalendo bado tuko tayari kuitumikia nchi yetu chini ya uongozi mzuri wa CCM.

Ushaniona Mhuni tena,Tuache siasa kama inaweza kutugombanisha.Tuongelee stand ya samunge lile vumbi tutafanyaje japo kuipunguza.
 
Chakula cha Nyalandu huyo sasa unafikiri atawasema wakina Lema vizuri... Never

:smile-big::smile-big::smile-big:,unamsema vibaya "second lady" mtarajiwa wewe.Maana wakiendelea hivi Kotta obvious atakuwa First Lady
 
Mkuu gana point tule kuna siku bungeni aliropoka eti wawekezaji wa vitalu vya gas hawaji na pesa bali wanakuja na labtop na wanakaa hotelini na kuomba kuwekeza kisha pesa wanakopa ktk mabank yetu nilimdhalau sana

Endelea kudharau hivyo hivyo, kwa sababu ushajiandaa kudharau, hiyo katumia lugha ya picha (figurative language)! mbona sijaona mfano wa capt Komba, au huyo ndo mnaweka kitako kabisa na kukusanya point!
 
Ukirusha jiwe gizani ukisikia kilio ujue limempata mtu.Aunt Ezekiel anatafuta pa kutokea yeye na Nyalandu walienda USA kufanya nini?
 
Wewe na wahuni wenzio ndio mnaona hivyo. Ila sisi watanzania wazalendo bado tuko tayari kuitumikia nchi yetu chini ya uongozi mzuri wa CCM.
Muhuni mwenyewe we mshinda chooni au msalani!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom