August Alsina

August Alsina

Nje weng wanakua na shughuli wanafanya apart from muziki,so hata akistaafu anaweza kusurvive maana hategemei mziki pekee tofauti na hapa kwetu so inabd mtu akomae had mwisho maana akiacha tu analala njaa
Kwann anachpata huyu wa huku asianzishe mradi unajua kadri umri unavyozidi kwenda sauti inabadilika ulivyokua unaimba wakatu unamiaka 25 huezi ukiwa na miaka40 au 50
Labda uwe late bloomer

Ndo maana abroad kuna radio znachukua watangazaji from 20_40 au 21_35 sisi tunahangaika na wazee wa miaka50
 
Sauti na manjonjo nayo yanapungua. Bado tuna safar ndefu
 
wazungu unaweza ukamkubaliii badae unakuja gundua ni li shoga limeolewa

limenyimwa na mume wake kuimba imba,ukute mume kasema kuanzia leo wewe kazi yako ni 1

kuimba achia wengine,hapo ndio wazungu wanaponizingua...

Huyu jamaaa siwezi msahau maana nilishakua na mpenzi wangu anampenda huyu kiumbe hadi Nikawa naona wivu.
 
Usimseme sam smith mpuuzi kabadilika mpaka anakera ss
 
wazungu unaweza ukamkubaliii badae unakuja gundua ni li shoga limeolewa

limenyimwa na mume wake kuimba imba,ukute mume kasema kuanzia leo wewe kazi yako ni 1

kuimba achia wengine,hapo ndio wazungu wanaponizingua...

Huyu jamaaa siwezi msahau maana nilishakua na mpenzi wangu anampenda huyu kiumbe hadi Nikawa naona wivu.
Alsina nomaa
 
Unamjua The Weeknd?
Hizi ni tabia za kishamba

Mtu akisema fulani ni mzuri hustahili kutokea na kuanza kusema "umnajua fulani?"

Tunamzungumzia August Alsina na ukali wake kwenye RnB na mkwamo wake kwa sasa..

Kumlinganisha na mkali wa album ya Starboy mahali hapa sio sawa
 
aisee kuna ngoma yake ile downtown ni balaa zito,chris brown kauona moto wake kwenye gold slugs ya dj khaleed
 
Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
sema dah...August Alsina asistaafu game....jamaa anajua Sana...Ile Ghetto naikubali Sana...uki+ na benediction na hip hop dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom