Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 286
- Thread starter
- #41
KumbeIla August Alsina alipatwa na matatizo kwenye familia yao yalipolekea shughuli zake za kimuziki kurudi nyuma.
KumbeIla August Alsina alipatwa na matatizo kwenye familia yao yalipolekea shughuli zake za kimuziki kurudi nyuma.
Nyimbo zake hazieleweki. Anabebwa na HYPE tuUnamjua The Weeknd?
DaaahNyimbo zake hazieleweki. Anabebwa na HYPE tu
Siku nimeona hii nilidata
Rose aliuwa humoSema Jamaa ana sauti nzuri sana na muonekano mzuri pia. Bénédictions ndio my favourite toka kwake.
The guy got a voice bwanaNyimbo zake hazieleweki. Anabebwa na HYPE tu
Pole yake anaweza asirudi kwa game huyoIla August Alsina alipatwa na matatizo kwenye familia yao yalipolekea shughuli zake za kimuziki kurudi nyuma.
The Weeknd sauti kama Michael Jackson.The guy got a voice bwana
Hahaha i feel him yaniThe Weeknd sauti kama Michael Jackson.
Sikiliza It feel Coming ya The Weeknd alafu sikiliza Your Not alone ya michael jackson. Uone
Sana au moja alipewa vesi moja na chorus. aliuwaaaa ni ngoma ya Ariana Grande ft The Weeknd--Love me harder ni hatariHahaha i feel him yani
Kwenue starboy ya daftpunk alitisha
Sauti yesThe guy got a voice bwana
Sauti nzuri hata Ali kiba anayo mkuuMuhimu sauti jaman![]()
Swaga ww zann ss jamanSauti nzuri hata Ali kiba anayo mkuu
Hata swaga anazo mnyamwezi saaanaSauti yes
swag no
Unaweza kuwa na sauti alafu mzembe wa kaziSauti nzuri hata Ali kiba anayo mkuu