August Alsina

August Alsina

August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.

Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada.

Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont Forget About Me,You Deserve,Hip Hop,Mama Nk.

Zote Achana nazo kuna kete moja inaitwa Kiss on my tattoos hii ndio my best song ever kutoka kwa huyu kiumbe.

Huyu August Alsina Alimsumbua sana Chris Brown kwenye zile Collabo mbili za Dj Khalid.

Dj Khalid ft Chris Brown,Nick Minaj,Jeremih,Rick Rose,Future__Do you mind.

Dj Khalid ft Chris Brown,August Alsina,Jeremih,Future__Hold You Down.

Jamaa Aliumiza sana kwa sauti yake ya kupanda na kushuka ni moja ya Chorus Killer hatari Saana..

Namkubali huyu jamaa. Wangapi tunamfahamu huyu Alsina. na uliwahi kumsikia kwenye ngoma gani ukamkubali

Moja ya Nyimbo zake (Benediction)

My favorite artist wa mbele,nampenda sanaaaa.
Anajua mnoo.
 
Kavulana hako kanajitahidi lakini bado bado

Kajitahidi sana kufika level za kina the weekend,bruno mars,chriss si mchezo
 
Unampenda nani?

Mimi mwanamziki wangu bure kwa miondoko hiyo ni

Justin Timberlake.....huniambii kitu kwa yule mwamba,anabweka balaaa
Timberlake na cant stop this feeling ni hatar

Nawapenda kina khalid,shawn mendes,chainsmokers, shehran, alec benjamin n.k
 
Make it home.. kati ya ngoma kali sana toka kwa August, lile voice la Jeezy sasa
I don't always do what I should
But I do what I gotta do
When you've been at the bottom, you see the hunger inside of you
Don't say what you won't do
'Cause it can all change
When the going gets tough it'll drive you insane"....August Alsina anajua sana sema tu mziki wenyewe ni mpaka uimbie wanawake,Pombe na mastarehe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom