Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Kajamaa kana sauti kama kinanda
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.
Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada.
Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont Forget About Me,You Deserve,Hip Hop,Mama Nk.
Zote Achana nazo kuna kete moja inaitwa Kiss on my tattoos hii ndio my best song ever kutoka kwa huyu kiumbe.
Huyu August Alsina Alimsumbua sana Chris Brown kwenye zile Collabo mbili za Dj Khalid.
Dj Khalid ft Chris Brown,Nick Minaj,Jeremih,Rick Rose,Future__Do you mind.
Dj Khalid ft Chris Brown,August Alsina,Jeremih,Future__Hold You Down.
Jamaa Aliumiza sana kwa sauti yake ya kupanda na kushuka ni moja ya Chorus Killer hatari Saana..
Namkubali huyu jamaa. Wangapi tunamfahamu huyu Alsina. na uliwahi kumsikia kwenye ngoma gani ukamkubali

Aisee... Kabadilikaje..!??Usimseme sam smithmpuuzi kabadilika mpaka anakera ss
Sijui kwaniniHalafu video ya wimbo wa DJ Khaleed wa hild you down uliondolewa youtube
HYPE ya wakina drake inambeba tuNilidhani ni mimi peke yangu ambaye simuelewi huyu jamaa
Unamzunguziaje Jay Z pamoja na kuelekea miaka 50 lakini bado anaimba na mkeweNaongelea kung'ang'ana kuimba hata kama umri umeenda au ushapata mafanikio
Dah Upo serious? Mtu anacheza na Bilboard chat kila atoapo ngoma...Anapiga views bilion moja Youtube anabebwa?HYPE ya wakina drake inambeba tu
Kwqni sam smith analiwa jicho ?Usimseme sam smithmpuuzi kabadilika mpaka anakera ss
Dah Upo serious? Mtu anacheza na Bilboard chat kila atoapo ngoma...Anapiga views bilion moja Youtube anabebwa?
Naahukuru kwa kunijibia mkuuSometimes upepo wa kisulisuli hua una mbeba mtu angalia views anao pata Whozu na views anao pata Rama D ndio utajua dunia haipo fair
Jamani kwani haujui?!Kwqni sam smith analiwa jicho ?
Hao waache wanajifurahisha tuUnamzunguziaje Jay Z pamoja na kuelekea miaka 50 lakini bado anaimba na mkewe
sifuatilii sana music wake wake ndio simfahamu ki undaniJamani kwani haujui?!
Anza kufatilia sssifuatilii sana music wake wake ndio simfahamu ki undani
anasauti matataAna mkwaju unaitwa STAY WITH ME ni nomaaaaaaAnza kufatilia ssanasauti matata
Mm naipenda sana ile writings on the wall na hii mpya how do u sleepAna mkwaju unaitwa STAY WITH ME ni nomaaaaaa