August Alsina

August Alsina

Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
Sugu ni mbunge,ana hotel kubwa tu pale Mbeya mjini na ana familia.
 
Ana ngoma yake inaitwa Like I love you, huwa ipo kwene ngoma zangu zakubembelezea mabebez nikiwa nabembea utamu wa shemeji yenu, 🤣🤣🤣🤣🤣, sema Mungu hakupi vyote, kampa ugonjwa unammaliza dogo aisee
 
I don't always do what I should
But I do what I gotta do
When you've been at the bottom, you see the hunger inside of you
Don't say what you won't do
'Cause it can all change
When the going gets tough it'll drive you insane"....August Alsina anajua sana sema tu mziki wenyewe ni mpaka uimbie wanawake,Pombe na mastarehe tu.
 
Inaitwaje hii mkuu?
 
Nick minaj alishawahi kusema anampenda sana ila mchizi akasema anamheshimu kama Dada ake..Saiv kazidiwa na majukumu ya kifamilia maana familia ya kaka ake iko chini yake.
 
Nilianza kumsikia kwenye ngoma yake ya Numb aliyomshirikisha BoB na tokea hapo nikawa fan wake..

Ana uwezo mkubwa sana,,sema drugs kama zimemtoa relini

No love ft mtoto mzuri Minaj kaua sana

I love this sh.it pia nayo moto

Na zote alizoshirikishwa na Dj Khaled
 
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.

Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada.

Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont Forget About Me,You Deserve,Hip Hop,Mama Nk.

Zote Achana nazo kuna kete moja inaitwa Kiss on my tattoos hii ndio my best song ever kutoka kwa huyu kiumbe.

Huyu August Alsina Alimsumbua sana Chris Brown kwenye zile Collabo mbili za Dj Khalid.

Dj Khalid ft Chris Brown,Nick Minaj,Jeremih,Rick Rose,Future__Do you mind.

Dj Khalid ft Chris Brown,August Alsina,Jeremih,Future__Hold You Down.

Jamaa Aliumiza sana kwa sauti yake ya kupanda na kushuka ni moja ya Chorus Killer hatari Saana..

Namkubali huyu jamaa. Wangapi tunamfahamu huyu Alsina. na uliwahi kumsikia kwenye ngoma gani ukamkubali
Benediction n No love...my all time fav songs toka kwake
 
sjui tunakwama wapi
Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
 
Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
acha fananisha sugu na vitu vya kijinga....nenda kaulize kuhusu MC HAMMER ndo urudi hapa...ushawahi sikia msanii mwengine aliyefanikiwa kwenye siasa zaidi ya sugu na anord shwazeneger anyway jamaa anaugonjwa mbaya wa imune hadi aliparalize temporary BET France August Alsina Shares Health Update: 'I'd Be Lying If I Said It Hasn't Been Tough'
 
acha fananisha sugu na vitu vya kijinga....nenda kaulize kuhusu MC HAMMER ndo urudi hapa...ushawahi sikia msanii mwengine aliyefanikiwa kwenye siasa zaidi ya sugu na anord shwazeneger
Kwan ww unaongea mann

Umetoka kulala?!

Nmetoa mfano wa kuimba mpaka uzeeni

Na kuimba licha ya kua ushapata mafanikio khaaaa

Siasa sijui mm utanichanganyia habari tu
 
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo.

Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada.

Alifunika kwenye No Love ft Nick Minaj,kuna Benediction ft Rick Rose,Song Cry,I Luv This Shit,Dont Forget About Me,You Deserve,Hip Hop,Mama Nk.

Zote Achana nazo kuna kete moja inaitwa Kiss on my tattoos hii ndio my best song ever kutoka kwa huyu kiumbe.

Huyu August Alsina Alimsumbua sana Chris Brown kwenye zile Collabo mbili za Dj Khalid.

Dj Khalid ft Chris Brown,Nick Minaj,Jeremih,Rick Rose,Future__Do you mind.

Dj Khalid ft Chris Brown,August Alsina,Jeremih,Future__Hold You Down.

Jamaa Aliumiza sana kwa sauti yake ya kupanda na kushuka ni moja ya Chorus Killer hatari Saana..

Namkubali huyu jamaa. Wangapi tunamfahamu huyu Alsina. na uliwahi kumsikia kwenye ngoma gani ukamkubali
Bila kumsahau kwenye gold slugs.
 
Watu washanufaikaa ila wanakazania kuimba mpaka uzeeni
Nje weng wanakua na shughuli wanafanya apart from muziki,so hata akistaafu anaweza kusurvive maana hategemei mziki pekee tofauti na hapa kwetu so inabd mtu akomae had mwisho maana akiacha tu analala njaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom