August Alsina

August Alsina

Jamaa ni mkali hatari ukisikia anavopanda na kushuka kwenye kisimu changu cha line mbili aliua hatari
 
Kuna dogo kaja kumuovertake anaitwa YK Osiris, huyo boya ni hatari ya jiji huko states na anajiita king of R&B
 
Nakumbuka huyu jamaa aliwah kufanyiwa upasuaji wa jicho na kumfanya awe weak kwenye maisha yake ya kuburudisha.
 
Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu
Ila August Alsina alipatwa na matatizo kwenye familia yao yalipolekea shughuli zake za kimuziki kurudi nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom